Naamkaga saa 10 usubui bila Kupendaga. Makelele tu.

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
lakini ingekuwa wakristo. wangestakiwa kwa sheha.

wanapiga kelele.

si mnaonaga kama mtu anauza kanda za mimbo za dini vile wanalalama anapiga kelele mtaani? halafu anaamuriwa apunguze sauti.

ila mimi adhana. saa 10 asubui zinapiga kelele.

zinaamsha hata sisi ambao hazituusu.

lakin hakmna anayekemea. ila ingekuwa wakristo ndiyo wanapigaga azana.

ungesikia wanapelekwa kwa pilato.

wanachafyua mazingizra.

hapo tene mtasem,a yerusalem mdini.

alakini mimi nadai usawa tu.

muslim ni rafiki sana. nawapenda.

ila lazima tuwe sawa.

mmoja asipendelewe kuliko mungine
 
hehehe, there you go again...kelele za mlango zinakusumbuaje wewe? meza piriton utalala tu. kama jambo halikuhusu lipotezee tu!
 
Wayahudi bwana. Ivi nyie na Waislam mna ugomvi gani??

Utafikiri Tom na Jerry. Nikiwangalia Gaza na nikikusoma hapa JF naona kama watani wa Jadi.

Haya bwana, endeleeni ila naomba usituingize wakristo humo. Sie hatumo, tushazoeaga hizo adhana (sio kelele kama unavyoziita) miaka nenda rudi

Najua kule kwenu uyahudini hujazizoea, na naona kuja Tanzania ya Waislam na Wakristo na kuzisikia adhana basi kunakukera kweli.

Sie Wakristo tumezoea. Pole Myahudi. Unaweza kurudi kwenu Uyahudi kama zinakukeraga sana, kama vipi zipotezee tu kama pilipili ya shamba!!!!!!!!!!!!
 
hehehe, there you go again...kelele za mlango zinakusumbuaje wewe? meza piriton utalala tu. kama jambo halikuhusu lipotezee tu!

piriton kila siku? makelele isn't environmental polution?
 
Pole Jerusalem. Kama uko jirani na Msikiti, itabidi tu uzoeee hiyo sauti ya Azana kwani katika Dini, Mambo yaliyopangwa huwa hayapanguliwi kwa sheria yeyote ile! Kuadhini ni lazima wataadhini, na kuamsha Waislam ili Wamsalie Mtume (SAW) wao, kama ambavyo Wakristo wataendelea kuimba usiku na kupiga kengele kumuabudu Yesu Kristo. Hayo hayana mpinzani, labda shetani tu. Inabidi tuvumilie na kuheshimu taratibu za Dini. Duniani ni Mapito tu. Ukijenga Imani hiyo adhana hazitakupa tabu.
 
lakini ingekuwa wakristo. wangestakiwa kwa sheha.

wanapiga kelele.

si mnaonaga kama mtu anauza kanda za mimbo za dini vile wanalalama anapiga kelele mtaani? halafu anaamuriwa apunguze sauti.

ila mimi adhana. saa 10 asubui zinapiga kelele.

zinaamsha hata sisi ambao hazituusu.

lakin hakmna anayekemea. ila ingekuwa wakristo ndiyo wanapigaga azana.

ungesikia wanapelekwa kwa pilato.

wanachafyua mazingizra.

hapo tene mtasem,a yerusalem mdini.

alakini mimi nadai usawa tu.

muslim ni rafiki sana. nawapenda.

ila lazima tuwe sawa.

mmoja asipendelewe kuliko mungine

Hivi kweli wewe ni Mkristo kweli??? I have my doubts....
Presentation ya siye Wakristo iko in sharp contrast to your methods.
 
Mimi nalipiza kwa kuimba mapambio usiku nje nyumbani kwangu. Na wewe fanya hivyo. Au chukua mega phone yako piga injili ya Yesu saa hizo hizo na mtakuwa mmetoka suluhu
 
True opponent of Maralia Sugu! Mkuu Jerusalem kwanini usingejiita Metacafine au fansider? Au kama vipi ujiite typhod sugu ili ufanane na MS? Maana post zako zinaonyesha wazi zipo kwa ajili ya kumjibu MS. Haya endeleeni na mpambano, sisi tutakuwa watazamaji.
 
Pumbaaa!
huna mada nyingine tofauti na UDINI? we kila ukija udini tu, alafu hili ni jukwaa la siasa...........
 
Back
Top Bottom