Naamini wenye Kujua Uongozi wa nchi ni ni CCM sasa Wanajuta!

Mimi Pamoja na Kuwa Nilitaka na Niliona ni Lazima CCM iwekwe pembeni 2015 ili kupisha Mabadiliko ya kweli. Sikuwa miongoni mwa wendawazimu waliodhani Tanzania itakuwa Better of kama CCM ikifa. Niliamini na Ninaendelea Kuamini Kuwa CCM pamoja na Ufisadi wote, ilikuwa na Bado ina watu wengi Wazalendo.

Ni hao Ndio Ninaosema sasa lazima watakuwa wanajuta sana, Kuruhusu Magufuli kugombea kwa chama chao na Kuwa Rais wa Tanzania, na Mbaya zaidi Kumfanya Mwenyekiti wa CCM taifa.

Sababu za mimi Kusema hivyo? Magufuli anao uwezo Mmoja tu na kwa Maoni ni yangu Ni kipaji ambacho pia Watu wengi waliokuwa na autism utotoni wanakuwa navyo, Photographic memory! Kwa bahati mbaya tunadhani kipaji hiki ni Kiashiria cha Akili sana au Hekima, Very Wrong!

Magufuli hana uwezo wala Utashi wa Kuongoza watu kwa Kuwa hajali anamkanyaga nani, au juu ya nini Kufika atakako, ubaya ni Kuwa watu wa aina yake, Wanadhani ndio center ya gravity, na sayari zote zinatakiwa zimzunguke yeye.
uTAKUWA USHASOMESHWA NAMBA WEWE SIO bure.

Ukiwa chaggadema nchi hii unakuwa mtu wa majungu, manung'uniko, Lawama,.
 
... Magufuli hana uwezo wala Utashi wa Kuongoza watu kwa Kuwa hajali anamkanyaga nani, au juu ya nini Kufika atakako, ubaya ni Kuwa watu wa aina yake, Wanadhani ndio center ya gravity, na sayari zote zinatakiwa zimzunguke yeye.

Mada nzuri. Ili ipate michango ya maana, kwa ajili ya uchaguzi wa 2020,
1) Tupe sifa za mtu mwenye "Utashi wa Kuongoza watu" ambao Raia wa sasa hana, kama ulivyodiriki kuandika kwa kujiamini.
2) Tufahamishe jinsi ya kumtambua watu "wanaodhani wao ndio center ya gravity, na sayari zote zinatakiwa zimzunguke wao"!

NAAMINI WEWE NI MTAALAMU WA ELIMU HIYO
 
You mean stupid reasoning!? I can't wat to see rubbish circulating unquestionably!
Remember, what u see as rubbish, to others its reasonable. Its always from the rubbish that sensible things come from. So be aware of that! Let's be critical of our president where it deem fit, and come up with the alternative.
Kumkosowa mtu haimaanishi unamchukia please.
 
Mada nzuri. Ili ipate michango ya maana, kwa ajili ya uchaguzi wa 2020,
1) Tupe sifa za mtu mwenye "Utashi wa Kuongoza watu" ambao Raia wa sasa hana, kama ulivyodiriki kuandika kwa kujiamini.
2) Tufahamishe jinsi ya kumtambua watu "wanaodhani wao ndio center ya gravity, na sayari zote zinatakiwa zimzunguke wao"!

NAAMINI WEWE NI MTAALAMU WA ELIMU HIYO
Mtu asiye na Makuu, Mwenye kumsikiliza kila mtu hata mtoto mdogo, asiye jali kutukanwa, asiyetumia nguvu kutaka watu wamfuate bali ushawishi, Asiyetaka sifa za kijinga jinga, Anayetoa haki hata kwa wasiompenda, asiye na visasi. Mwenye kusikiliza wadau kabla ya kuwaamulia. Anayemwogopa Mungu. Ambaye hata asipokulipa unajisikia tu ufanye anachokuomba kwani ana Ushawishi wa wema sio Shuruti, Asiyetamani kunyamazisha wengine, Na asiyepokonya haki za wengine kwa manufaa binafsi.And What have you!

Mfano mzuri alikuwa ni Mzee Ali Hassan Mwinyi, Nyerere, Mbowe, Lowassa, Mwandosya Lukuvi, Simbachawene, etc. Kimataifa ni MTLK, Nelson Mandela, Mahatma Gandhi. Pope aliyejiuzulu, Benedict XVI etc.
 
Mtoa mada naomba kukuuliza swali lenye vipengele.......

Naomba nijue kwanza haya mawazo ni yako personally au unawakilisha group ya watu na kama ni group ni ya akina nani hiyo group....

Pili, niambie katika awamu hii mpya na changa unahisi umeathirika vipi personally usianze kuniambia mambo mfano ya mizigo pale bandari maana najua bandari ni public institution si mali yako hivyo haikuhusu,usianze pia kuniambia kuhusu sijui makampuni kuuzwa sijui nini......nataka unipatie in detail maisha yako wewe binafsi nini kimerudi nyuma na useme wazi maana kama umekuwa muwazi kuhusu hisia zako kwa raisi haushindwi kutupa ukweli juu ya maisha yako binafsi.

Tatu, hebu zungumzia nini kifanyike yaani kuwa kama unamshauri raisi ili utusaidie sisi raia tunaopenda kuona mambo yanasonga na sio watu walalamishi kila uchao ambao wanazungumza mambo yale yale....mfano kila mtu anasema sijui bandari mizigo imepungua lakini katika wanaosema utagundua ni 10% ndio walishajihusisha na shughuli za bandari 90% waliobaki hata bandarini hawajawahi kufika plus hawajui hata purukushani za bandarini zinafanywaje.

Maoni yangu kuhusu mada hii na nyingine kama hii ni kama ifuatavyo;

Watanzania kwa miaka mingi tokea uhuru tumekuwa ni raia wa kutapatapa.....si kisiasa si kiuchumi si kijamii kwa maana ya kwamba hatujitambui ni dimension au muelekeo upi ambao tunatakiwa kufuata ili tufikie taifa la maziwa na asali.

Maendeleo hayaji kwa aina hii ya kuishi tumayoishi. Kila uchao watu wahajui zuri au baya wao ni kulalamika kwa kila linalofanywa.
Vilio vya watanzania kwa sasa nikisikiliza kwa makini naona wengi wao kama sio kufuata mkumbo wa ulalamishi basi ni watu ambao walishazoea maisha ya kuunga unga sasa wanalalamika maana wameshaona mfumo uliokuwa ukiwalea umeanza kuporomoka.

Mimi kwa nafasi yangu kama raia sioni umuhimu wa kupiga kelele au kuwa mlalamishi. Maana kiukweli, hivi unadhani huko kulalamika kwako kuna mchango wowote katika swala la maendeleo ya taifa letu?!
Me nilitegemea kuwa kwakuwa mazingira sasa yapo vizuri kwa watu waadilifu kupambana na kujenga uchumi basi tuna kaa chini na kuwasikiliza ama kuwaunga mkono baadhi ya raia wasiojielewa wanaolalama kama vichaa.
Fanya biashara ......kama upo kazini basi pambana sana kufanya kazi kiuadilifu maana kunamijitu kwenye ofisi za serikali ni bora ifutwe kazi wawekwe vijana wapya watakao pambana na kusaidia kujenga taifa maana wengi wapo mtaani.

Mheshimiwa raisi anaweza kuwa anafanya kitu ambacho hakikupendezi machoni pako. But unajua wazi kuwa mheshimiwa raisi ni taasisi ambayo inafanya kazi kwa utaratibu wake na kwa mujibu wa katiba......hivyo basi wewe kwa nafasi yako jenga taifa na muache raisi afanye kazi yake......

Sasa ukija hapa unaongea maneno ya kudhoofisha jitihada za raia kupambana na maisha utakuwa ndio umefanya nini?!

Hebu kuwa serious na maisha na kauli zako ndugu mwandishi....unaweza kuwa unasema ukweli lakini si kila ukweli ni wa kusikilizwa maana si kila ukweli ni wa kujenga ukweli mwingine ni wa kuharibu na kupotezesha mwelekeo wa wengine.

So mjitahidi wadau kuwa serious na haya maisha ya sasa msiishi kwa kutaka serikali ifanye kila kitu ati ninyi ni akina nani, wakati wewe unapiga domo kuna watu wanajipanga huko ukijashtuka.miaka 10 imepita haujafanya maendeleo........

Umeuliza Swali zuri sana Lakini Mimi Sina Majibu kwa Maswali yako yote, Ila kama Unakaa Tanzania zunguka mitaani, Ongea na watu utapata Majibu, Msikilize Makonda utapata Majibu, Sikiliza Bunge utapata majibu, Soma Magazeti Utapata majibu, Tembelea Mashule, Vyuo, Mahospitali Utapata majibu, Fuatilia hasara za Mabenki Utapata Majibu, Angalia wasio na ajira utapata Majibu. Ikibidi Tembelea Bukoba utapata majibu!
Kwa yale Maswali mawili Ni Kuwa Mimi situmwagi na Mtu yeyote.
Na lifanyike Nini Maoni yangu Ni Magufuli anabahati ya Kuwa na Mwinyi, Mkapa, na Kikwete, awaombe ushauri. Na awe tayari kuwasikiliza, Na kama hawezi Arudi Chato akachunge ngombe!
 
You mean stupid reasoning? I can't wait to see rubbish circulating unquestionably!
What the hell are you insinuating, I would implore you if you will, shut the fu..ck up every once and a while, that way people may by mistake assume you are wise!
 
Mokili Fumulauhi: utawala huu hakika umegusa maeneo uliyokuwa uendesha maisha yako kinamna namna.

Bandiko lako na majibu yako kwa wachangiaji wa mada yako ni ushahidi tosha.

Kama unafuatilia mzunguko wa Makonda, Mkuu wa Mkoa Dar, utajua ukweli kuwa viongozi wengi wamekuwa wakifanya kazi za uongozi kujinufaisha.

Hivyo basi, hatua zinazochukuliwa na utawala wa Rais Magufuli, uliyempachika sifa mbaya za uongozi, ndiye anastahili kuongoza nchi hii.

TIME WILL TELL, wanajamvi humu wanaomba duya hilo, sijui jema au baya.

Fanya kazi yako halali na fuata sheria bila shurti, hutobughuziwa.
 
Sawa siwezi kubishana na Upeo wako!
 
Nina wasiwasi sana upinzani ukichukua nchi, nasema through experience, ni noma, tena sana, tutaona vituko mpaka tukome.

Wapo wapinzani Waziri kwenye nia njema na wazalendo ila ni wachache mno, wamezungukwa na majitu ya ajabu mno.

MTU anaweza kunisaidia kufanya formal research au investigative journalism kwenye Halmashauri zinazoongozwa na wapinzani. Zaidi ya nusu ya Madiwani ni vituko na rushwa tupu.

Anaepinga akafanye uchunguzi. Mimi siyo CCM wale chama cha upinzani, unaweza kupitia thread na post zangu. Ila nasema kwa sauti kubwa kabisa, tungechagua upinzani, tungejuta. Kheri tusoma namba kwa JPM, hii ni ahueni kubwa kuliko hao wengine.
 
Sawa siwezi kubishana na Upeo wako!
Kwa lugha hiyo hapo juu hakika tunapishana Upeo kwa mbali sana.

Soma ya mwanaJF hapa chini, je, naye ana Upeo gani.

Viongozi wa upinzani na wafuasi wao, kama mleta mada, wanapenda kuongoza nchi hii lakini hawajawa tayari kifkira wala kimatendo. Mtu makini na mwenye busara katu haishi kwa maneno ya kejeli (kulalama, kukosoa na kulaumu) tu. They are yet to be serious.
 
1480260876508.jpg
 
jamani mbona tupo too low!!!! kila cku tunajadili watu badala ya kujadili taifa? ebu badilikeni!!!!!! magufuli hatobadilisha hii nchi peke yake nanyi timizeni wajibu wenu kwa taifa lenu. kulalamika hakutoondoa umaskini wa familia na taifa kwa ujumla!!!!!!
 
Kwa lugha hiyo hapo juu hakika tunapishana Upeo kwa mbali sana.

Soma ya mwanaJF hapa chini, je, naye ana Upeo gani.

Viongozi wa upinzani na wafuasi wao, kama mleta mada, wanapenda kuongoza nchi hii lakini hawajawa tayari kifkira wala kimatendo. Mtu makini na mwenye busara katu haishi kwa maneno ya kejeli (kulalama, kukosoa na kulaumu) tu. They are yet to be serious.
Kwa dhana yako kama sikuelewi unataka kusema kuwa sisi tunaosema Magufuli hana Uwezo wa Kuongoza Nchi ni Wapumbavu na hatujui tulisemalo. Na kwa maneno mengine, Kwako wewe Yeyote aweza kuwa Rais! Lau kama sivyo? Kama wapo wasiouweza urais, Kwanini hudhani Magufuli ni mmoja wao?

Kama unadhani dhana yetu ni Upumbavu, Ngoja nikuambie Mpumbavu na asiyejua alisemalo, Kama ni wewe utajaza Jedwali, mpumbavu
_Anayedhani kwa hali ya Biashara na Mabenki ilivyo sasa nchi inaendeshwa sawa huyo ni Mpumbavu na Kwake Magufuli ni Kiongozi bora.
_Anayeona hali mbaya ya ajira za Wahitimu na akadhani nchi ipo sawa huyo ndiye mpumbavu.
_Anayeona Wakuu wa Mikoa na Wilaya Mabaradhuli wakifanya mahakama za Makangaroo mitaani na Akadhani nchi inaenda sawa huyo ni mpumbavu
_Anayeona Bunge limekuwa Tambiko la siri Kama Unyago lakini Watu wa hovyo kama Makonda wanatengenezewa Reality show za siasa chafu na kutangazwa direct, na akadhani nchi inaenda sawa huyo ni Mpumbavu.
_Anayeona Rais anawatukana watoto wa walipakodi Vilazo na kuwatimulia mitaani kama mbwa watoto zaidi ya 7000 akadhani mambo sawa huyo ni Mpumbavu
_Anayeona Rais akiiba Fedha za Serikali na Kutumia Kuwahonga wabunge ili wapitishe sheria ya Kikoloni na Akadhani ni sawa huyo ni Mpumbavu.
_Anayeona Serikali inakwapua fedha za wahanga wa Tetemeko na kuzitumia kufanyia watakacho huku wakiwaacha Walengwa na Vilio ati kuwakomoa Kwa Kuchagua Ukawa na Kuwatesa Kisaikologia ili uchaguzi ujao wachague CCM, asiyeona huo sio Ushetani huyo ni mpumbavu.
_Asiyesikia Maneno ya Rais Mstaafu Muungwana aliyeitoa Tanzania kutoka foleni za duka la kaya, Rais Mwinyi, Kauli aliyosema nchi inaendeshwa kama Gari lililongolewa usukani na asimwamini huyo ni Mpumbavu tena sio Kidogo.

Mimi na wengine Hatulalamiki tu, Wala mimi sio Ukawa, Tunataka huyu Rais abadilike asikilize Wanaojua Nchi inaongozwaje au ajiuzulu akachunge ng,ombe kama alivyowahi Kusema Wala sioni huruma kumwambia str8 mnakumbuka alikuwa akiwaambia Makondorasi wanaoshindwa Kazi atawafuta wakavue samaki mkuki kwa nguruwe, Na yeye Namwambia Magufuli Urais unakushinda, unaaribu Kazi Jifute ukachunge, ng,ombe. Sio lazima Yeye awe Rais, Na muda wa Kumsemesha Kiungwana ulishapita kwani, Magufuli ana Kiburi, Mwongo, Mnafiki sana sana sana na hasikii la Mtu, Anajizungushi Wapenda sifa wale siku zote, Ndio mzee, Hana Maboli ya Kufanya Kazi na wale wanaoweza Kumchalenge kuwa anakosea.

Sasa Kama Mimi Nimesema Uwongo, Usiruhuru nipotoshe, Nieleze kwa hoja ni jinsi gani Niliyosema sio sahihi.
 
Mleta mada milioni 7 inakuhusu hapa umemkera muheshimiwa kwa kumkosowa.;):D Naunga mkono hoja yako ccm walipoona mjenga barabara kwa misaada ya Marekani wakaona huyu ndie anaetufaa. wakasahau kama bila ya mikwaju mbuzi harudi zizini.
 
Bara bara zote zinazojegwa sasa Ni fedha ambazo Alizitafuta Kikwete Kabla ya Kuondoka. Huo ndio ukweli
 
Magufuli haborongi kwa kuwa hana Akili ana akili, za Kutosha sana, Ila anajifanya he know it all, Wazungu wanasema, " He is too smart for his own good!"
 
Kwa dhana yako kama sikuelewi unataka kusema kuwa sisi tunaosema Magufuli hana Uwezo wa Kuongoza Nchi ni Wapumbavu na hatujui tulisemalo. Na kwa maneno mengine, Kwako wewe Yeyote aweza kuwa Rais! Lau kama sivyo? Kama wapo wasiouweza urais, Kwanini hudhani Magufuli ni mmoja wao?

Kama unadhani dhana yetu ni Upumbavu, Ngoja nikuambie Mpumbavu na asiyejua alisemalo, Kama ni wewe utajaza Jedwali, mpumbavu
_Anayedhani kwa hali ya Biashara na Mabenki ilivyo sasa nchi inaendeshwa sawa huyo ni Mpumbavu na Kwake Magufuli ni Kiongozi bora.
_Anayeona hali mbaya ya ajira za Wahitimu na akadhani nchi ipo sawa huyo ndiye mpumbavu.
_Anayeona Wakuu wa Mikoa na Wilaya Mabaradhuli wakifanya mahakama za Makangaroo mitaani na Akadhani nchi inaenda sawa huyo ni mpumbavu
_Anayeona Bunge limekuwa Tambiko la siri Kama Unyago lakini Watu wa hovyo kama Makonda wanatengenezewa Reality show za siasa chafu na kutangazwa direct, na akadhani nchi inaenda sawa huyo ni Mpumbavu.
_Anayeona Rais anawatukana watoto wa walipakodi Vilazo na kuwatimulia mitaani kama mbwa watoto zaidi ya 7000 akadhani mambo sawa huyo ni Mpumbavu
_Anayeona Rais akiiba Fedha za Serikali na Kutumia Kuwahonga wabunge ili wapitishe sheria ya Kikoloni na Akadhani ni sawa huyo ni Mpumbavu.
_Anayeona Serikali inakwapua fedha za wahanga wa Tetemeko na kuzitumia kufanyia watakacho huku wakiwaacha Walengwa na Vilio ati kuwakomoa Kwa Kuchagua Ukawa na Kuwatesa Kisaikologia ili uchaguzi ujao wachague CCM, asiyeona huo sio Ushetani huyo ni mpumbavu.
_Asiyesikia Maneno ya Rais Mstaafu Muungwana aliyeitoa Tanzania kutoka foleni za duka la kaya, Rais Mwinyi, Kauli aliyosema nchi inaendeshwa kama Gari lililongolewa usukani na asimwamini huyo ni Mpumbavu tena sio Kidogo.

Mimi na wengine Hatulalamiki tu, Wala mimi sio Ukawa, Tunataka huyu Rais abadilike asikilize Wanaojua Nchi inaongozwaje au ajiuzulu akachunge ng,ombe kama alivyowahi Kusema Wala sioni huruma kumwambia str8 mnakumbuka alikuwa akiwaambia Makondorasi wanaoshindwa Kazi atawafuta wakavue samaki mkuki kwa nguruwe, Na yeye Namwambia Magufuli Urais unakushinda, unaaribu Kazi Jifute ukachunge, ng,ombe. Sio lazima Yeye awe Rais, Na muda wa Kumsemesha Kiungwana ulishapita kwani, Magufuli ana Kiburi, Mwongo, Mnafiki sana sana sana na hasikii la Mtu, Anajizungushi Wapenda sifa wale siku zote, Ndio mzee, Hana Maboli ya Kufanya Kazi na wale wanaoweza Kumchalenge kuwa anakosea.

Sasa Kama Mimi Nimesema Uwongo, Usiruhuru nipotoshe, Nieleze kwa hoja ni jinsi gani Niliyosema sio sahihi.
Kwa lugha yako hiyo, najiondoa.
 
Kwa dhana yako kama sikuelewi unataka kusema kuwa sisi tunaosema Magufuli hana Uwezo wa Kuongoza Nchi ni Wapumbavu na hatujui tulisemalo. Na kwa maneno mengine, Kwako wewe Yeyote aweza kuwa Rais! Lau kama sivyo? Kama wapo wasiouweza urais, Kwanini hudhani Magufuli ni mmoja wao?

Kama unadhani dhana yetu ni Upumbavu, Ngoja nikuambie Mpumbavu na asiyejua alisemalo, Kama ni wewe utajaza Jedwali, mpumbavu...

Kwa lugha hiyo uliyotumia kufikisha ujumbe wa chuki yako ni budi nijiweke kando, Du!
 
Back
Top Bottom