Naamini kabisa kuwa Ngeleja na Jairo ingekuwa China wangesha nyongwa siku nyingi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naamini kabisa kuwa Ngeleja na Jairo ingekuwa China wangesha nyongwa siku nyingi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Aug 4, 2011.

1. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#1
Aug 4, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,250
Likes Received: 3,842
Trophy Points: 280
Naamini kabisa toka moyoni mwangu kuwa Ngeleja na Jairo wangekuwa ni wa China hata matanga tungeshasahau siku nyingi!
hili naamini kwa aina ya jeuri yao, yani huku wakijua kabisa kuwa umeme hakuna wao wamegeuza wizara kuwa vitega uchumi vyao,hatujakaa sawa wao wanaendesha propaganda zao chini ya TBC ccm?
Hakika sera za Mao ze dong na Nyerere hazikuwa na ndoto za kizandiki za JK na akina Ngeleja!

Ipo siku sheria za china zitatua tz tu!!

2. C

Che-lee JF-Expert Member

#2
Aug 5, 2011
Joined: Jun 10, 2011
Messages: 319
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Nashukuru mungu al jazeera kiswahili hiyoooo

3. Jile79

Jile79 JF-Expert Member

#3
Aug 5, 2011
Joined: May 28, 2009
Messages: 11,377
Likes Received: 3,140
Trophy Points: 280
This is only in tz.........tunachekelea wazembe pamoja na rais wetu kipenzi kicheko kikwete.............nchi hii kama imerogwa vile...........km vile laana yote ya africa na dunia ipo juu yake...

4. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#4
Aug 5, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,250
Likes Received: 3,842
Trophy Points: 280

Inauma sana kwakweli yani mtu ana zaidi trilion3? Halafu bado yupo tu!!

5. k

kamanda mkuu Member

#5
Aug 5, 2011
Joined: Aug 5, 2011
Messages: 15
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mimi nafikiri kuwa watanzania tunatakiwa tuchukue hatua kwa hili kwani kila mtu anafanya anavyotaka,ni kwa nini sisi wote tusiungane kwa maandamano hata njia zingine tudai uhuru wetu ili viongozi wawe na uoga wanapotaka kutusaliti.

6. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#6
Aug 5, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,250
Likes Received: 3,842
Trophy Points: 280

Sisi tukinyamazishwa hata miti itasema!

Loading...