Naamini huyu mzee uchaguzi ujao atatufuta machozi watanzania tuliokata tamaa

Steven mushi mushi

JF-Expert Member
Jul 25, 2016
533
739
33df33b11cd9f10011eacbddf1899faa.jpg
 
Be the 2nd to reply....!Hahahaa, nafikiri anahitajika mtu mwingine,Ila Upinzani unahitaji kufanya kazi kubwa sana Kumuandaa.
 
Kama nawewe unaamini atatufuta machozi wananchi tuliokata tamaa na mambo yanayoendelea katika hii nchi gonga like mtu nitambue uwepo wapo kama mwananchi mzalendo unayeitakia mema nchi yako. Go lowassa go 2020 sio mbali Baba tunakutegemea uje utukomboe maana tumeshakata tamaa na mambo yanayoendelea katika nchi yetu.
 
Yeye mwenyewe alisema wasipochukua 2015 hawatachukua tena mpaka miaka 50 ijayo au isiwezekane kabisa namshauri apumzike tu vinginevyo Mbowe atabadili gia tena
 
Back
Top Bottom