Naambiwa hizi za Dr Slaa bado ni rashrasha tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naambiwa hizi za Dr Slaa bado ni rashrasha tu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Oct 4, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  WanaJF: Tumeingia ngwe ya pili ya kampeni na sasa tunaona jinsi shujaa wetu, mkombozi wetu, Dr W. Slaa alivyoanza kutumia ile mitutu mingine katika mashambulizi yake kwa kikundi cha kifisadi kinachoongozwa na JK, RA,EL, Makamba na Kinana. Siwataji wengine ambao ni walamba ukoko tu.

  Naambiwa mashambulizi haya ya sasa hivi –wizi wa sh 155 bilioni wa Meremeta na Sh 1.7 trilioni katika hela zilizotengwa kukabiliana na mtikisiko wa uchumi duniani – ni rashrasha tu (small arms fire).

  Inatarajiwa ifikapo tarehe 20 mwezi huu mkombozi wetu huyo atakuwa anatumia mitutu yote (firing from all cylinders) tena kwa kutumia ile ya mizinga mikubwa (heavy artillery, howitzers etc) na hapo ndipo kikundi hicho cha wezi kitajua kuwa maharage si mboga, bali ni dawa ya tumbo tu!

  Katika hiyo final straight, tunaomba wananchi tuungane pamoja tumpeleke Dr Slaa Ikulu. Tukifanya makosa tena miaka mitano ijayo tutakuwa tumekwisha – JK hawezi kutimiza ahadi zozte anazotoa kwa sababu akimaliza ile ngwe hatakuwa tena Ikulu na hivyo hakuna mtu atakaemuuliza.

   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Asante Mkuu niko pamoja naye. Jamani Mkombozi wetu kisha sema kuwa haogopi kitu, yuko tayari hata kuawa kwa kupigwa risasi ili haki itendeke kwa Watz -- sasa tunababaika nini? Tumpe kura zetu. Ni wangapi humu ndani ya Tz wako tayari kufa kwa ajili ya haki? Huyu mtu ni mkombozi ambaye ni serious tumebahatika kumpata, tusi-lose hii chance. Watu wa aina hii Mwenyezi Mungu huwa anawaumba kwa nadra kabisa -- majizi ndiyo anayaumba kwa uwingi sijui kwa nini.
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hii imekaa safi
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Duh, kama hizi ni rasharasha, sijui mizinga itakuwaje!!! Big up -- our saviour!!!
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Penye red: hapo ndipo uliponigaragaza sakafuni, mkuu. Sina mbavu kabisa!!!!
   
 6. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  kazi kwangu mimi na wewe kupiga kura octoba 31,pls dont miss na usiichezee haki yako ya msingi,usirudie makosa teeeeeena
   
 7. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Naamini hata wewe siku chache zijazo kabla jagoo wa demokrasia hajawika utakuwa umemkana JK mara TATU.Tunakujua wewe kwa sasa huzitaki mbichi hizi.PEPOOOOOOS.welcome to the show
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  yeye na wengine wanaowasapoti majizi wantegemea kura ziibiwe ili JK ashinde. Hakuna kingine wanachotegemea.
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mtaongea sana maneno ya mipasho mwaka huu...kama ambavyo mgombea wenu wa urais anavofanya...hahaaaaaa alifikiri urais ni kuchekacheka ,mmeamua kutumia mpaka jeshi mwaka huu..kazi mnayo
   
Loading...