Tafadhali naomba jibu la kichwa cha habari hapo juu.
Tafadhali naomba jibu la kichwa cha habari hapo juu.
Hayajesha na hayawezi kwisha sababu tunajadili watu badala ya hoja.kila siku kama sio lowasa ni rostam na sasa zitto,badala ya kujadili hoja tumekomaa na majungu ya kisiasa.
Watajwa hapo juu wapo kazini kama walivyokuwepo, na bado wanaendesha siasa za Tanzania na wamepanda mbegu nyingi zianakuwa na kutimiza matakwa yao
Matatizo yetu yengekwisha kama kama hawa mafisadi na genge lao wangechinjwa kwa machungu waliotuletea nchi hii!!
Tafadhali naomba jibu la kichwa cha habari hapo juu.
Hayajesha na hayawezi kwisha sababu tunajadili watu badala ya hoja.kila siku kama sio lowasa ni rostam na sasa zitto,badala ya kujadili hoja tumekomaa na majungu ya kisiasa.
Majungu ni sehemu ya siasa na yapo kila mahali mpaka katika mapenzi !
Nina wasiwasi haujui unachouliza
Kuwepo kwa matatizo hakuwafanyi hao ma*§¿@§i waonekane wasafi, kama tulivyowakataa wao, hata hawa waliopo tutaendelea kuwapiga mawe hadi kieleweke.