Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 42
- Thread starter
- #41
Wazo zuri, vizuri aseme kwa nini hawatendei haki wasomaji wake.Kwani mhariri wa hili gazeti sio mwanachama hapa atupe naye majibu yake?

Nimetoa jibu tayari. Tunahitaji njia mbalimbali kuurudisha umoja wetu unaoharibiwa na CCM. Hivyo kutumiwa mimi pekee haitoshi. Mawazo ya kizalendo yanahitaji kuenea kwa watanzania wengi, wewe hautaki wananchi waurudie uzalendo wao na kukuza utaifa wetu hadi unapendekeza isomwe na wachache?Hivi kuandika kote huku ni kutaka hiyo njozi isiyoisha iendelee kubandikwa? Unanchekesha, si umwambie akutumie nakala ya hiyo njozi?
Mbona hamsemi Mohamed Said anapoleta makala yake humu JF asubuhi, mchana inaondolewa?
Hili gazeti la nani? wewe umeshalisoma tayari? linahabari gani baada ya kulisoma? Je linajenga uzalendo wa mtanzania na kukuza utaifa wetu?soma bang!! liko poa au bab kubwa!!
Wakati wetu huu ni kipindi ambacho watanzania tunahitaji mawazo ya kuujenga utaifa wetu ambao unatishiwa na wanasiasa wa CCM. Katika mazingira haya wasomaji wa Tanzania Daima tulitegemea makala zinazotoa mawazo na hoja za kuujenga umoja wetu na kuipenda nchi yetu kwa dhati zinapewa kipaumbele kikubwa. Moja ya makala hizo ni ile ya Mwanakijiji Njozi ya Mwanakiji iliyokuwa inatoka katika gazeti la Tanzania Daima kila Jumatano. Makala hii ilikuwa imefikia sehemu nzuri, hasa maelezo kuhusu akina Abdalah ambao Mwalimu Nyerere amewahi kufanya nao kazi. Walikuwa wameshatajwa wachache, mmoja wapo Abdallah Fundikila, Abdallah Twalipo na nilikuwa nategemea kusoma akina Abdalla wengine. Kinachosikitisha ni kuwa makala ya namna hii imesitishwa kutolewa na Tanzania Daima. Ni jambo la ajabu kama wahariri wa Tanzania Daima hawakuona umuhimu wa Makala ile. Ama huwa hawasomi na kuona umuhimu wake. Sasa jina Tanzania Daima lina maana gani ikiwa makala zinazojenga mawazo ya U-Tanzania wanazitupa kapuni?. Tayari wasomaji wametoa malalamiko yao juu ya hilo lakini hakuna marekebisho. Somo moja ninawapa Tanzaia Daima ni kuwa katika dunia ya sasa vyombo vya habari ambavyo haviwasikilizi wasomaji na wasikilizaji wake vinakosa soko. Ndiyo maana vyombo kama BBC vimebadilika badala ya wasikilizaji kusikia tu nao wanatoa michango yao na inasikika. Na kwa njia hii ndiyo maana chombo kama Jamiiforums kinawapenzi wengi kwa kuwa mawazo yao yanasikilizwa. Kwa kusikitishwa na kitendo cha Tanzania Daima kuacha kuchapisha makala inayojenga utaifa wa nchi yetu bila sababu zinazoeleweka kwa wasomaji, kuanzia Jumatano ijayo sitanunua na kusoma tena Tanzania Daima hadi mwendelezo wa habari ya Njozi ya Mwanakijiji uendelee. Uamuzi huu ni tofauti na ule nilioufanya miaka mingi iliyopita wa kuacha kusoma Uhuru, na sasa Habati Leo, Majira nalo naelekea kulitosa. Sababu za kuacha kununua na kusoma magazeti ya Uhuru, Habari Leo na Majira ni kukithiri kwao kushiriki siasa chafu za kuliangamiza taifa letu katika misingi ya ubaguzi
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/179304-kwa-hili-rostam-aziz-hutasameheka-8.html
Hivi wewe Faiza Foxy sindio uliyekuja humu ndani ukawa unamsifia Fisadi rostam kwenye Jimbo lake sasa umeshindwa kujibi hoja umeikimbia

Nawafahamisha kuwa nimeanza kusoma tena gazeti la Tanzania daima kuanzia wiki ya jana baada ya kuona Njozi ya Mwanakikji imechapishwa. Leo tena Njozi ipo na gazeti nimenunua linalo. Njozi ya leo inasomo zuri sana kuhusu namna ya kupambana kwa hoja na kundi la watu linalotaka kuandika historia ya Tanganyika kwa hisia. Nawapongeza Tanzania Daima kwa kuanza kusikiliza maoni ya wasomaji na nawashauri waendelee kusoma kwa makini njozi hii ni muhimu sana kwa kuweka sawa masuala yanayohusua historia ya nchi yetu na namna na kujikinga na maandishi yenye lengo la kuwagawa Watanzania kibaguzi. Pia TD watafakari sana kuhusu maandishi wa wachangiaji kabla ya kuamua tusitisha. Ukishaamua kutoa makala au andishi fulani, wasomaji wake wanapatikana mara. Kusitisha kuna maana ya kuwavunja moyo kama ilivyotokea kwangu. Ni kweli niliacha na nisingerudia tena kusoma na kununua Tanzania Daima kama njozi ya Mwanakikijiji isingerudishwa. Asanteni Tanzania Daima kwa kuweka mambo sawa.Duh !!! JF sasa kuna mambo .Eti makala ya nani ambayo unataka gazeti lifungiwe ?
Nilisoma Njozi zake kuanzia mwanzo hadi mwisho, nikaridhika kuwa ilikuwa na mawazo mazuri sana na hoja za kupambana na wanaoharibu utaifa wetu. Nishasema awali mwanakijiji alishasema wazi kuwa yeye ameendelea kuandika njozi yake kama kawaida lakini Tanzania Daima hawazichapishi.
tanzania daima liko chini ya mafisadi,full stop.
Wakati wetu huu ni kipindi ambacho watanzania tunahitaji mawazo ya kuujenga utaifa wetu ambao unatishiwa na wanasiasa wa CCM. Katika mazingira haya wasomaji wa Tanzania Daima tulitegemea makala zinazotoa mawazo na hoja za kuujenga umoja wetu na kuipenda nchi yetu kwa dhati zinapewa kipaumbele kikubwa. Moja ya makala hizo ni ile ya Mwanakijiji Njozi ya Mwanakiji iliyokuwa inatoka katika gazeti la Tanzania Daima kila Jumatano. Makala hii ilikuwa imefikia sehemu nzuri, hasa maelezo kuhusu akina Abdalah ambao Mwalimu Nyerere amewahi kufanya nao kazi. Walikuwa wameshatajwa wachache, mmoja wapo Abdallah Fundikila, Abdallah Twalipo na nilikuwa nategemea kusoma akina Abdalla wengine. Kinachosikitisha ni kuwa makala ya namna hii imesitishwa kutolewa na Tanzania Daima. Ni jambo la ajabu kama wahariri wa Tanzania Daima hawakuona umuhimu wa Makala ile. Ama huwa hawasomi na kuona umuhimu wake. Sasa jina Tanzania Daima lina maana gani ikiwa makala zinazojenga mawazo ya U-Tanzania wanazitupa kapuni?. Tayari wasomaji wametoa malalamiko yao juu ya hilo lakini hakuna marekebisho. Somo moja ninawapa Tanzaia Daima ni kuwa katika dunia ya sasa vyombo vya habari ambavyo haviwasikilizi wasomaji na wasikilizaji wake vinakosa soko. Ndiyo maana vyombo kama BBC vimebadilika badala ya wasikilizaji kusikia tu nao wanatoa michango yao na inasikika. Na kwa njia hii ndiyo maana chombo kama Jamiiforums kinawapenzi wengi kwa kuwa mawazo yao yanasikilizwa. Kwa kusikitishwa na kitendo cha Tanzania Daima kuacha kuchapisha makala inayojenga utaifa wa nchi yetu bila sababu zinazoeleweka kwa wasomaji, kuanzia Jumatano ijayo sitanunua na kusoma tena Tanzania Daima hadi mwendelezo wa habari ya Njozi ya Mwanakijiji uendelee. Uamuzi huu ni tofauti na ule nilioufanya miaka mingi iliyopita wa kuacha kusoma Uhuru, na sasa Habati Leo, Majira nalo naelekea kulitosa. Sababu za kuacha kununua na kusoma magazeti ya Uhuru, Habari Leo na Majira ni kukithiri kwao kushiriki siasa chafu za kuliangamiza taifa letu katika misingi ya ubaguzi
Mi naona ulikua unatuyayusha tu.Nawafahamisha kuwa nimeanza kusoma tena gazeti la Tanzania daima kuanzia wiki ya jana baada ya kuona Njozi ya Mwanakikji imechapishwa..

bila neno " unachekesha '' hauwezi kusomeka ??Hivi kuandika kote huku ni kutaka hiyo njozi isiyoisha iendelee kubandikwa? Unanchekesha, si umwambie akutumie nakala ya hiyo njozi?