Naacha kazi kwa kwa kumpenda yule dada

zigii

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
516
210
Baada ya kumuona yule dada na uzuri aliokua nao yeye alinifuata na kunitongoza kuwa ananipenda sana anahitaji kuwa na mimi, nikamwambia mimi nina mke wangu ambae nampenda sana siwezi kumsaliti mke wangu.

Yeye aliendelea kunishawishi nimuache mke wangu na kuniahidi atanitunza na kunipa chochote ninachotaka ikiwa ni pamoja na hela nyingi na usalama wangu ikiwa mke wangu atakuja juu, nilipozidi kukutaa akanitishia ataniendea kwa babu.

Namba ushauri nifanye nini maana bado naipenda kazi yangu na mke wangu.
 
Baada ya kumuona yule dada na uzuri aliokua nao yeye alinifuata na kunitongoza kuwa ananipenda sana anahitaji kuwa na mimi nikamwambia mm nina mke wanangu ambae nampenda sana siwezi kumsaliti mke wangu yy alindelea kunishawishi nimuache mke wangu na kuniahidi atanitunza na kunipa chochote ninachotaka ikiwa ni pamoja na hela nyingi na usalama wangu ikiwa mke wangu atakuja juu nilipozidi kukutaa akanitishia ataniendea kwa babu
Namba ushauri ni fanye nini maana bado naipenda kazi yangu na mke wangu
 
Kazi usiache na huyo dada usitembee naye, na wala asikutishe kwenda kwa babu simamia msimamo wako
 
Ulioa nn mapema kumbe bado macho yalikua hayajatua?nibora kidogo chako kuliko kikubwa cha mwenzako....jilazimishe ukauvae
 
Sasa wewe unataka kumuacha mkeo na kazi kisa hiyo k ya kupita tu..... Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako
 
Kwa hiyo kutishiwa kwa babu ndo unakuja kuomba ushauri unamuogopa babu achana nae huyo changudoa tu huyo umuache mkeo kwa ajili ya mjinga mmoja
 
Acha kazi uone kazi kupata kazi!!!yaani malaya akutishie ulozi na wewe unamsikiliza!kwa kutaa kwako uzinzi na kuiheshimu ndoa yako huoni kama Mungu atakutendea jema kwa kukulinda na lolote baya atakalotaka kukufanyia huyo mwanamke?jiamini bro
 
Baada ya kumuona yule dada na uzuri aliokua nao yeye alinifuata na kunitongoza kuwa ananipenda sana anahitaji kuwa na mimi, nikamwambia mimi nina mke wangu ambae nampenda sana siwezi kumsaliti mke wangu.

Yeye aliendelea kunishawishi nimuache mke wangu na kuniahidi atanitunza na kunipa chochote ninachotaka ikiwa ni pamoja na hela nyingi na usalama wangu ikiwa mke wangu atakuja juu, nilipozidi kukutaa akanitishia ataniendea kwa babu.

Namba ushauri nifanye nini maana bado naipenda kazi yangu na mke wangu.
mfanyie fake love.
kama babu zetu wameweza kuwa na wanawake zaidi ya watano.na kila mtu hakapendwa na bila wao kujijua.siku babu hanakufa ndo mnakuta msibani kumbe hawa wato wake zake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom