Can't help but laugh nikikumbuka yule mnajimu aliyeliweka taifa kwenye hali tete kuhusiana na uchaguzi huu...nadhani hapa kuna Kesi nzuri tu kwa watu wenye profession yao:rockon:....
Mh! zamani nilikuwa naogopa kumsema vibaya kwani kuna swahiba wangu alinambia ukimsema automatically unazulika.
Lakini sasa hivi hata simwogopi. kigagula mkubwayule.
Aliwahi kunukuliwa:
1. Hakuna Uchaguzi mwaka huu......
2. Kuna mgombea Urais atakufa ikibidi hata uchaguzi kuahirishwa
3. Atakayeshindana na Kikwe atakufa kifo cha ghafla
4.Kikwe amedondoka kutokana na nguvu za giza toka kwa wabaya wake
5. Ninamwekea Kikwe ulinzi usioonekana kwa macho, na ole wake mtu akijaribu kumdhuru, cha moto atakiona
As of late, the guy amejificha sana, hebu mkurupueni toka huko pangoni alipo aje kujibu matamshi yake haya???????????!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.