Na yule Mnajimu....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na yule Mnajimu.......

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MOMO, Nov 1, 2010.

 1. M

  MOMO Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Can't help but laugh nikikumbuka yule mnajimu aliyeliweka taifa kwenye hali tete kuhusiana na uchaguzi huu...nadhani hapa kuna Kesi nzuri tu kwa watu wenye profession yao:rockon:....
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mh! zamani nilikuwa naogopa kumsema vibaya kwani kuna swahiba wangu alinambia ukimsema automatically unazulika.
  Lakini sasa hivi hata simwogopi. kigagula mkubwayule.
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  Hana lolote yule ni kibaka tu, awatishe hao hao akina JK wanaoabudu mizimu
   
 4. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni fisadi na mnganga njaa hana kitu zaidi ya utapeli
   
 5. k

  king ndeshi Senior Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  alikuwa anatafuta puplicity washkaji,si unajua biashara matangazo,worse he proved failure.:nono:
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Well:Well:Well

  Chances za kutokea VURUGU bado ni 80% probability!

  Zanzibar TETE as of now!
   
 7. jaxonwaziri

  jaxonwaziri JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Aliwahi kunukuliwa:
  1. Hakuna Uchaguzi mwaka huu......
  2. Kuna mgombea Urais atakufa ikibidi hata uchaguzi kuahirishwa
  3. Atakayeshindana na Kikwe atakufa kifo cha ghafla
  4.Kikwe amedondoka kutokana na nguvu za giza toka kwa wabaya wake
  5. Ninamwekea Kikwe ulinzi usioonekana kwa macho, na ole wake mtu akijaribu kumdhuru, cha moto atakiona

  As of late, the guy amejificha sana, hebu mkurupueni toka huko pangoni alipo aje kujibu matamshi yake haya???????????!!!!!!!
   
 8. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Njaa inamsumbua tu
   
Loading...