Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Mbona Mimi sijawahi kumpata
Niweke wapi tangazo?wapo ila hawajawahi kwambia wana aibu kujitokeza ukiweka tangazo watakuja ndio utawajua
Na ikitokea hivyo ni raha acha kabisa.Katika mahusiano huwa inakuwa ni bahati mkikutana wote mnapendana,mambo huwa shwari sana.
Mhhh swali lako lenyewe linawaita tayari hawajaanza kuja inboxNiweke wapi tangazo?
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣Kuna watu sio kwamba hawapendi? Hapana! Wanapenda sana tu ila wakishajua wanapendwa hupatwa na ulimbukeni fulan hv wa kishamba unaoleta maringo madharau nyodo like huwez kumuacha coz anajua unampenda kupitiliza mm watu wa dizain hii nawapiga surprise la maana mkisha break ndio anaanza kulialia kiree...
Mmamae pita na mia tusizoeane
Na 29 nigeuze iwe 39 nijeNamtafuta msichana nisiyekuwa na hisia naye ila yeye anahisia kali na mimi umri wake kuanzia 36-43 aje inbox
njoo tuNa 29 nigeuze iwe 39 nije
Nimewahiwa jana.njoo tu
mbna nipo mm tangia kitambo nmewekwa sub?😂Mbona Mimi sijawahi kumpata
Nkuonavyo nadhan naww ni binti maringo
Wapi nimewachoka tuNkuonavyo nadhan naww ni binti maringo
Mbona sijakuonambna nipo mm tangia kitambo nmewekwa sub?😂
Nia yako kutufukuza tuNamtafuta msichana nisiyekuwa na hisia naye ila yeye anahisia kali na mimi umri wake kuanzia 27-43 aje inbox
agata edward halafu uende wapiNia yako kutufukuza tu
Punguza miakaagata edward halafu uende wapi