Na wewe umegundua

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
raf.jpg
 
Kuna watu sio kwamba hawapendi? Hapana! Wanapenda sana tu ila wakishajua wanapendwa hupatwa na ulimbukeni fulan hv wa kishamba unaoleta maringo madharau nyodo like huwez kumuacha coz anajua unampenda kupitiliza mm watu wa dizain hii nawapiga surprise la maana mkisha break ndio anaanza kulialia kiree...
Mmamae pita na mia tusizoeane
 
Namtafuta msichana nisiyekuwa na hisia naye ila yeye anahisia kali na mimi umri wake kuanzia 27-43 aje inbox
 
Kuna watu sio kwamba hawapendi? Hapana! Wanapenda sana tu ila wakishajua wanapendwa hupatwa na ulimbukeni fulan hv wa kishamba unaoleta maringo madharau nyodo like huwez kumuacha coz anajua unampenda kupitiliza mm watu wa dizain hii nawapiga surprise la maana mkisha break ndio anaanza kulialia kiree...
Mmamae pita na mia tusizoeane
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom