ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 15,586
- 59,246
Hahaha sawa ila ndo ukweli
Hahaha sawa ila ndo ukweli
Yesuu hata mke wa kinyaiya kanizidiMh we ujue nikiangalia face la rihana sipati picha ulivyo mzuri
Hahaha..ngoja nichunge mdomo mimi " sitaki kuongea neno ambalo litachangia kasi ya mafuriko Pm kwako bureHahaha sawa ila ndo ukweli
Hearly Good Morning, Have a nice day.Hahaha..ngoja nichunge mdomo mimi " sitaki kuongea neno ambalo litachangia kasi ya mafuriko Pm kwako bure
Hahaa .... unakwenda wapi sasa huko .wenyewe wameziba NjiaHearly Good Morning, Have a nice day.
I love flat screens a.k.a LCDsWanaume
waaminifu tupo,
ila tatizo letu
hatuna fedha
Mke na mume waligombana, nyumba ikageuka kuwa uwanja wa vita ya tatu ya dunia. Kila mmoja anamtupia mwenzie nyuklia za maneno lakini mwanaume akaishiwa nguvu mapema sana akanyamaza Mwanamke akaendelea. “Mwanaume gani
wewe, huna hata haya. Najuta kuolewa na wewe, mara 100 ningeolewa na shetani kuliko mtu wa ovyo namna hii.”
Mwanaume akajibu. “Ungeolewa na shetani, lakini hairuhusiwi mtu na kaka yake kuoana Nina uhakika unajua kilichoendelea.
Kwa mujibu wa baadhi ya wanawake wanaume wote ni mbuzi (kimsingi, sio mbuzi, kuna jina la mnyama mwingine wanalotuita
ambalo nikiliandika hapa gazetini, hii inaweza kuwa Makala yangu ya mwisho kuchapishwa tafsiri yake ni kwamba? Haturidhiki hata tupewe nini, hatuna aibu na tumekosa uaminifu kabisa.
Kwamba mwanaume mpatie kila kitu anachostahili kupewa, mpe na vya ziada lakini linapokuja suala la kuwa mwaminifu na ndoa au uhusiano lazima atavuka mipaka tu, atatoka nje. Tusikatae, yawezekana ikawa kweli, kwamba kuna wanaume si waaminifu, lakini mashaka yanakuja pale unapogundua mwanamke
Anayesema wanaume ‘wote’ ni mbuzi hajawahi kuwa na uhusiano na hata nusu ya wanaume wa mtaa anaoishi – suala la wote linatokea wapi?Wanawake wanakosea kuelewa, tatizo hapa halipo kwa wanaume, lipo kwenye asili ya binadamu. Roho zetu ziliumbwa na kitu kupenda, kupenda vitu vizuri. Kuna wakati binadamu anapopenda kitu kizuri anaweza kufanya chochote ilimradi apate, roho yake itulie Tafsiri yake ni kwamba, hapa tatizo linaweza lisianzie kwa mwanaume, likaanzia kwa
wanawake wengine huko nje.
Kwa sababu labda mwanaume ana kitu kizuri wanachopenda wanawake mathalani pesa unaweza kukuta wanawake wanaanza kutengeneza mazingira ya kukipata bila kujali hali ya uhusiano wa mwanaume, kwamba ameoa, ana mchumba au vipi. Hiyo kwake haimhusu, ishu ni ana pesa, anazitaka. Kwa hiyo mwanaume anapokutana na majaribu mengi ya aina hii, kama imani yake ni ndogo, unakuta ni rahisi sana kufanya vitu vya ajabu.Hii inaweza kuwa sawa na kwa wanawake; baadhi ya wanaume tunasema wanawake si waaminifu, lakini kimsingi inawezekana kuna
Wanawake waaminifu ni wengi sana, tatizo hawana mambo tunayoyapenda – mathalani mawowowo.Kwa hiyo, wenye nayo, wanapitiachangamoto za kama mwanaume mwenyehela, kwamba kila mtu huko njeanawasumbua kutaka kupata walichonacho,kwa hiyo kama mwanamke moyo wakehaujamjaza Mungu kisawasawa unakuta suala la kuwa muaminifu kwake linakuwa mtihani mgumu sana – anakengeuka Kumbe si wanaume wote wabaya, waaminifu tupo ila hamtuwazi kwa sababu tu hatuna fedha. Kama ambavyo kuna wanawake waaminifu ila hawaonekani kwa sababu hawana mawowowo.
Chanzo
Wanaume waaminifu tupo, ila tatizo letu hatuna fedha
Flat screen halafu iteteme!!!?Dah..Ila kama sikuhizi nimeanza kuzielewa flat screens
Yaani mabata mzinga yamenichoshaaaa mpaka naanza kuyafanya kama option tu.
Bwana wee..upate kiflat screen halafu kwa mbaaaali kiwe kina TETEMAAA ..yerewii
Sent using Jamii Forums mobile app
Af ujue acha utanYesuu hata mke wa kinyaiya kanizidi
Wakati Wa Uumbaji inaweza kuwa Mungu alikuwa busy na Maandamano.....lmaoniko na sura ya baba sijui babu poor me
Kwani una average mkuyenge ?flat screen kwa dog style ni msaada mkubwa sana kwa wenye average mkuyenge. Ugonjwa wangu huoo
Hebu tuioneNdioo tena yenyewe kabisa inayolingana na mgongo
Eeeeee si mbaya siku moja moja kukumbukwaTumekumbukwa Leo
cc. easy to carry
vpotable 😂😂
nashukuru kwa niaba cc. vpotableEeeeee si mbaya siku moja moja kukumbukwa
Hahahaha itakuwa nilikuwa naandamana maana sio poaWakati Wa Uumbaji inaweza kuwa Mungu alikuwa busy na Maandamano.....
Unanyimwa vyotee?!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuione
Ahsante kwa kushkuru😊😊nashukuru kwa niaba cc. vpotable