Na swali kwa wanaume

Write your reply...uzi dizaini hii angeuleta ,,,ndege JOHN au KISANDU Jr au mwanaume yeyote humu ndani mngeaanza kushambulia na kuuita threads ya kipuuzi lakin ameuleta kabinti basi mshaanza kulainika hamjaona Kama ya kipuuzi kweli kuna miwanaume dhaifu shittttt
 
Kwako na hana muda hapo kashawapiga mpaka basi wenyewe mpo hoi .
Yeye hataki akuuwe wewe kakupa option kati ya hao watatu uchague
unajua nilienda nyumbani kumuangalia huyo jambazi halafu sijamuona ulinishtua sana
 
Jambazi kaingia ndani yanyumba kakosa alichotaka akakuamuru baba wanyumba nani auwawe .
Kimada (house girl) mtoto wako au mkeo yupi utamuokoa?
Mtuambie??
Na jambazi hawezi kuwaza huo utoto, wanatafutaga hela tu wale
 
Watu wanauwawa kabisa ili wasiweke ushaidi kama hamjui munauliwa wote kabisa bora hata hii munaulizwa tu ni mada kiuhalisia mnauwawa wote baada ya wao kupata watakacho.
 
Back
Top Bottom