Na sisi watu wa Mtwara na Lindi tunapenda maendeleo, tuachieni Dangote

Mimi sipendagi ujinga. Hivi gesi mnafkiri inatoka ardhini Bure haina gharama za uendeshaji? Kwahiyo Dangote ndo alikuwa a naleta maendeleo hapo kwenu mtwara na Lindi asingejenga kiwanda msingi Pata maendeleo?

Halafu wengine walivyo wajinga wanazungumzia ccm. Ccm imefanyaje sasa hapo Dangote?

Mtwara yote ni CUF na LINDI.

Narudia tena acheni ujinga JF.
We manyunya kweli kweli yani unataka kujifanya hujui matokeo ya kiwanda cha dangote kwa uchumi wa mtwara na Taifa kwa ujumla? acha unemba wewe na akili zako kama za Lipumba.
 
Acheni ujinga sasa mtu anataka gesi apewe Bure ili b Iweje? Kwani akipewa Bure ndo mmepata ajira Lindi na mtwara wote? Hiki kiwanda lipo hapo na kimeajiri watu nje ya mtwara na Lindi kwani ajira ni qualification si ukaazi wa mtwara na Lindi.
Ningekuwa na ujasiri ningekutukana ila basi...!!!

Sasa wspi mtoa post amehusisha mambo ya ajira na ukaazi? Au watu wa kusini ndo hawana hizo Qualifications ulizotaja? Pamoja na kuajiri watu wengine toka mbali nje ya Lindi na Mtwara miongoni mwao hakuna watanzania?
Maendeleo ya huko kwenu yaliletwa na wenyeji peke yake??
Ulistahili sana maneno ya Mzee Mkapa pale Jangwani mwaka jana ila basi tu...
 
Mimi sipendagi ujinga. Hivi gesi mnafkiri inatoka ardhini Bure haina gharama za uendeshaji? Kwahiyo Dangote ndo alikuwa a naleta maendeleo hapo kwenu mtwara na Lindi asingejenga kiwanda msingi Pata maendeleo?

Halafu wengine walivyo wajinga wanazungumzia ccm. Ccm imefanyaje sasa hapo Dangote?

Mtwara yote ni CUF na LINDI.

Narudia tena acheni ujinga JF.
Hata ukiangalia mikoa iliyoendelea kuna rasilimali zimeendeleza hiyo mikoa iweje kusini isiendelezwe na rasilimali zake? Kabla ya barabara kwisha na ugunduzi wa ges watu wengi si mlikuwa hata kufanya kazi kusini hamtaki? Leo watu kinachofanya wapapende ni nini? Hivyo tunaomba kiwanda kiachwe
 
Back
Top Bottom