Na sisi tunawapenda hawa

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Wanawake/Mabinti wenye hela! Pesa! Mkwanja! Kisu! Mshiko! Ngoma droo
 
mmmh aya!
lakin stak kuamini km unapenda wenzako wawe mamariooooooo
-yap kutokana na mfumo wamaisha kuwa mgumu +fursa sawa kwa wote inatokea mabint/wanawake wanakuwa na mshiko wa ukweli
-so wanaume wengne pia wanapenda utelezi wa maisha wanawafuata
---lakin wanaume wa ukweli hawawez wakakimbilia KUTUNZWA NA MWANAMKE KUTOKANA NA NATURE YA UANAUME...
--laikn kwa wale macoward poa tu haiwasumbui ye akiona bima ya ukweli nje +income ya mdada kwa mwezi ni ml 2 kwenda mbele basi lazma ajiweke
--ingawa sisemi haitokei kiukweli mwanaume maskin akampenda kwa dhat bnt tajir

namalizia chai byeeeeeee
 
Haina shida waite watakavyo sisi pia tunatumbukaaaaaaaaa
 
ukimkuta mdada jeuri haaa utakoma..anajua umefata mapesa so atakunyanyasa wew mpk utakiona
..ukiamka piga dek,fua sidiria,kakate majan nje(wakat haus boy yupo)
--kumshika kiuno usiku mpk akwambie
--siku utaskia ahhh leo nataka nilale peke yangu so nenda kalale seblen
--anachelewa kurud home kisa yupo kwenye madili anarud km saa 7 iv usiku
--wanaume wengne wanakuja ndan kwenu tena kwa dharau wanaongea bla ata intro like ths z ma husband...
HASARA NI NYING... tuachien wenyewe wanawake tufaidi i ofa ya kuwakimbilia wenye pesa....+na ivi tushazoea kunyanyaswa nao bas ahh raha tu tunafanya km nimojawapo kat ya mila na destur!!!!!!!1
 
Wala hawanyanyasi tena ndo wabembelezaji wakubwa usimwache wewe hapo unachohitaji ni kushughulikia ile kitu kisawasawa
 
Mmmm ulivyo nena hapo mpaka roho imeniuma kwa kweli! its just a challenge
wewe una huruma.ur gud .kp t up
nimegundua ilo
siku njema kaka.
(yap najua ni challenge,jokes just for kufuraishsa baraza cz iknw ata we mwenyewe haupend kulelewa)
 
kila kukicha mambo yanazidi kupamba moto..lakini nyie si mliambiwa mtakula kwa jasho lenu
 
mmmh aya!
Lakin stak kuamini km unapenda wenzako wawe mamariooooooo
-yap kutokana na mfumo wamaisha kuwa mgumu +fursa sawa kwa wote inatokea mabint/wanawake wanakuwa na mshiko wa ukweli
-so wanaume wengne pia wanapenda utelezi wa maisha wanawafuata
---lakin wanaume wa ukweli hawawez wakakimbilia kutunzwa na mwanamke kutokana na nature ya uanaume...
--laikn kwa wale macoward poa tu haiwasumbui ye akiona bima ya ukweli nje +income ya mdada kwa mwezi ni ml 2 kwenda mbele basi lazma ajiweke
--ingawa sisemi haitokei kiukweli mwanaume maskin akampenda kwa dhat bnt tajir

namalizia chai byeeeeeee
mkuu rose, mbona avatar yako inatutia majaribuni?????
 
Back
Top Bottom