Na sisi tukiamua SAA hakuna kutua hapa Tanzania na kukamata ndege yao itakuwa ndio jibu

Morning wapenda maendeleo wote..

Ingekuwa mm ndio kiongozi wa juu serikalini kabisa, dawa ya SAA waliozuia ndege yetu ni rahisi sana

1: Hakuna SAA kuruhusiwa kutua hapa Tanzania..

2: SAA wakija hapa ndege yao tunakamata na kuitaifisha..

Sbb za msingi ni hii hapa.. Wakati SAA wana ubia na ATCL michezo michafu sana walicheza na kuweka fake bills hasa za matengenezo ya ghali na matengenezo yalifanyika huko SAA katika hangars zao.. Bills za hivyo ni uwizi mkubwa, sbb mbia mmoja ndio anakufanyia maintenance alafu anakupiga juu kwa juu kwa bills za ajabu..

So serikali ikifanya hivyo, SAA hakuna kuwapa kibali cha kuja hapa Tanzania na akija ni kukamata ndege yao..

Hapo watatia adabu nawaambia na hasara watakayopata ndio watajifunza. Sbb kila siku SAA wanakuja Dar, sasa ni wakati wa kuwatia adabu, ASAP serikali cancel kibali cha SAA kuja hapa Tanzania. Yaani ingekuwa mimi, wangenikoma SAA wasingesahau maisha yao yote Tanzania ni nchi ya aina yake. Futa kabisa kibali cha SAA kuja hapa, haraka kabisa.
Jambo la msingi ni kulipa deni.
 
Kwaiyo wataka kushindana na SA??
 
Nakuunga mkono. Yani pamoja na kuwaonyesha makaburi kule Mazimbu. Wanakamata ndege yetu tfna kwa kideni cha zamani.
 
Uzuie SAA isitue Nchini for which grounds ?
Wao hawajazuia ndege yetu kutua SA,wameenda Mahakamani ku Seize ndege ili walipwe.
Na Pia wala hawajamtumia Kiongozi wa Juu Serikalini Bali wameenda Mahakamani.
Rule of Law
Dawa ya Deni ni kulipa
Halafu aliyewadanganya kuwa Kiongozi wenu Mkuu wa Serikali neno lake ndio Sheria anataka kuwapeleka nyie Wananchi msiojitambua,Mbumbumbu,Nyumbu,kuishia kuwa na nchi kama Zimbabwe
Tanzania kuna watu wanataka kuigeuza iwe taifa wanamoishi mifugo. Ni kusweka tu. Ukienda huko duniani wanaishi binadamu waliostaarabika na wanajua sheria na katiba. Nyie mnaotamani kuchunga watu kama mifugo mtanyooshwa tu mpaka mke sawa.
 
Morning wapenda maendeleo wote..

Ingekuwa mm ndio kiongozi wa juu serikalini kabisa, dawa ya SAA waliozuia ndege yetu ni rahisi sana

1: Hakuna SAA kuruhusiwa kutua hapa Tanzania..

2: SAA wakija hapa ndege yao tunakamata na kuitaifisha..

Sbb za msingi ni hii hapa.. Wakati SAA wana ubia na ATCL michezo michafu sana walicheza na kuweka fake bills hasa za matengenezo ya ghali na matengenezo yalifanyika huko SAA katika hangars zao.. Bills za hivyo ni uwizi mkubwa, sbb mbia mmoja ndio anakufanyia maintenance alafu anakupiga juu kwa juu kwa bills za ajabu..

So serikali ikifanya hivyo, SAA hakuna kuwapa kibali cha kuja hapa Tanzania na akija ni kukamata ndege yao..

Hapo watatia adabu nawaambia na hasara watakayopata ndio watajifunza. Sbb kila siku SAA wanakuja Dar, sasa ni wakati wa kuwatia adabu, ASAP serikali cancel kibali cha SAA kuja hapa Tanzania. Yaani ingekuwa mimi, wangenikoma SAA wasingesahau maisha yao yote Tanzania ni nchi ya aina yake. Futa kabisa kibali cha SAA kuja hapa, haraka kabisa.
Nonsense...!!
Embu waza effect ya huo ushauri kwanza
 
Hapo watatia adabu nawaambia na hasara watakayopata ndio watajifunza. Sbb kila siku SAA wanakuja Dar, sasa ni wakati wa kuwatia adabu, ASAP serikali cancel kibali cha SAA kuja hapa Tanzania. Yaani ingekuwa mimi, wangenikoma SAA wasingesahau maisha yao yote Tanzania ni nchi ya aina yake. Futa kabisa kibali cha SAA kuja hapa, haraka kabisa. 😡😡😡
Hiyo kwa kidhungu ambacho kinawapa taabu sana inaitwa "Knee jerk reaction"; kwa kifupi ni maamuzi ya kukurupuka, kwani ukamate ndege yao unawadai kitu gani au hasira za nyegere?
 
Kama anamdai Atcl kwa nini wakamate ndege za serikali kama unaamin SAA sio serikali

Duh!! Sikuamini nimesoma comment hii kutoka kwa “great thinker”. SAA ni public company (yaani kuna share za wawekezaji). ATCL ni kampuni ya serikali 100%. Ni kweli hujui haya?? Hayo yote hayana maana - ukweli ni kuwa ATCL kama kampuni ilikuwa inadaiwa na SAA!! Kushikilia mali ni maswala ya kisheria (rejea ndege iliyoshikiliwa Canada). Litamalizwa kisheria kwa kulipa deni au kufanya makubaliano nje ya mfumo wa kisheria.

Hapa usitegemee serikali ya SA kuingilia jambo la mahakama kama mnavofanya kwenu. Lipeni deni!! Kama ATCL sio kampuni ya serikali, ATCL ile iliyokuwa inadaiwa ilipe deni. Hata sijui jambo hili umelionaje. Pathetic!!
 
Kila siku tumekuwa tunaendesha mambo yetu kishamba each tupigwe tu mpaka tutakapopata akili. Wewe unAjua ATCL inadaiwa badala ya kulipa madeni unanunua midege wenye akili wakikutoa ushamba unalilia huruma. Wacha tupigwe tu maana hakuna jinsi Wacha tu tule jeuri yetu na jiwe wetu.
 
Morning wapenda maendeleo wote..

Ingekuwa mm ndio kiongozi wa juu serikalini kabisa, dawa ya SAA waliozuia ndege yetu ni rahisi sana

1: Hakuna SAA kuruhusiwa kutua hapa Tanzania..

2: SAA wakija hapa ndege yao tunakamata na kuitaifisha..

Sbb za msingi ni hii hapa.. Wakati SAA wana ubia na ATCL michezo michafu sana walicheza na kuweka fake bills hasa za matengenezo ya ghali na matengenezo yalifanyika huko SAA katika hangars zao.. Bills za hivyo ni uwizi mkubwa, sbb mbia mmoja ndio anakufanyia maintenance alafu anakupiga juu kwa juu kwa bills za ajabu..

So serikali ikifanya hivyo, SAA hakuna kuwapa kibali cha kuja hapa Tanzania na akija ni kukamata ndege yao..

Hapo watatia adabu nawaambia na hasara watakayopata ndio watajifunza. Sbb kila siku SAA wanakuja Dar, sasa ni wakati wa kuwatia adabu, ASAP serikali cancel kibali cha SAA kuja hapa Tanzania. Yaani ingekuwa mimi, wangenikoma SAA wasingesahau maisha yao yote Tanzania ni nchi ya aina yake. Futa kabisa kibali cha SAA kuja hapa, haraka kabisa.
Mara mkulima mara SAA!
Nani anatudai?
 
Back
Top Bottom