Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,651
- 5,126
Tanzania ina midudu mi.jinga sana kama hili Jay One.Linadhani labda Rais Cyril Ramaphosa ndo kazuia Ndege! Sasa unazuia Ndege ya SAA kutua Nchini kwa "Order" ipi ?Morning wapenda maendeleo wote..
Ingekuwa mm ndio kiongozi wa juu serikalini kabisa, dawa ya SAA waliozuia ndege yetu ni rahisi sana
1: Hakuna SAA kuruhusiwa kutua hapa Tanzania..
2: SAA wakija hapa ndege yao tunakamata na kuitaifisha..
Sbb za msingi ni hii hapa.. Wakati SAA wana ubia na ATCL michezo michafu sana walicheza na kuweka fake bills hasa za matengenezo ya ghali na matengenezo yalifanyika huko SAA katika hangars zao.. Bills za hivyo ni uwizi mkubwa, sbb mbia mmoja ndio anakufanyia maintenance alafu anakupiga juu kwa juu kwa bills za ajabu..
So serikali ikifanya hivyo, SAA hakuna kuwapa kibali cha kuja hapa Tanzania na akija ni kukamata ndege yao..
Hapo watatia adabu nawaambia na hasara watakayopata ndio watajifunza. Sbb kila siku SAA wanakuja Dar, sasa ni wakati wa kuwatia adabu, ASAP serikali cancel kibali cha SAA kuja hapa Tanzania. Yaani ingekuwa mimi, wangenikoma SAA wasingesahau maisha yao yote Tanzania ni nchi ya aina yake. Futa kabisa kibali cha SAA kuja hapa, haraka kabisa. 😡😡😡
SAA wao wametumia "Order" ya Mahakama ndo Ndege yetu imezuiwa na mamlaka zingine zote zime "comply"! Hiyo ndo Rule of Law na si " Rule of the man"!
Tunawambia mjiendeleze mmeng'ang'ania upambe tu!