Na sisi pia tuondoe Masanamu ya Kizungu kama USA!

Mimi ni mmoja wa mpinganji mkubwa wa kubadilisha barabara yetu yenye Historia ya jiji letu na kumpa Mpinga kristo Obama, hilo liko wazi na sielewi kwa nini Raisi Magufuli halifuti hili labda nisababu ya heshima yake kwa Raisi mstaafu Kikwete, lkn ukiniluza mimi ilipaswa kuondolea mara moja na kurudisha Kivukoni yetu!
We simply dont care,jibu ni rahisi hivyo!
 
Hujajibu,nimekwambia mazingira yetu hatuna hizo tamaduni za kuenzi masanamu ndio maana sio big deal!Simaanishi kwao,kwao yawezekana yana umuhimu ili kwetu hatuna muda na mambo kama hayo!Ndio maana hata anuani yetu ya ikulu ilipobadilishwa jina na kupewa jina la Rais wa Marekani,hatukuandamana kupinga!
Ila ukienda kubadili anuani ya white house uipe jina la Nyerere,wataandamana mpaka wauane!
Ndio hicho nachosema!

Siyo swala la Utamaduni bali ni swala la kujitambua, unavyoongea inaelekea hauoni tofauti ya kumpa mtoto wako wa kike mdoli ya Kizungu na wa Kiafrika! Bila ya kujitambua hakuna Maendeleo hata mpige kelele mpaka Mbinguni!

d1df855e713a3a1652d17ab89255a144--precious-children-beautiful-children.jpg
 
Kweli unajadili kama mtoto wa darasa la pili!
Naomba niishie hapa!
 
swahiba akili yako imeathirika sana.. tuache masanamu ya kiarabu bagamoyo????????????????????????????? ninyi watu wa namna yako uwezo wenu wa kufikiri ukoje? unadhan mgomvi wenu ni mzungu? mgomvi wenu ni ninyi wenyewe...mnahangaika na mzungu ambaye ana maisha yake mazuri tu ambayo kwa asilimia 80 mnayategemea kwa kutumia vitu alivyoanzisha.
Sasa hivi huko USA kuna vurugu kubwa ambapo Wazungu na Weusi wenye mlengo wa kushoto wanaondoa na kuharibu Masanamu yote yenye kumbukumbu za Kihistoria kwa madai kwamba walikuwa ni Wabaguzi, sasa na sisi tunangoja nini kufuta matakataka ya sijui Livingstone alilala hapa, lake Viktoria, Sanamu ya kumbukumbu wa Askari wa Kihindi mtaa wa Samora, Makaburi ya Kizungu Upanga, tubadilishe yote!

Ikumbukwe kwamba kwetu tumefundishwa Ukoloni ni unyonyaji sasa iweje tunatunza kumbukumbu zao ili hali Wazungu wenyewe wanabomoa? , ...

3000.jpg

2156.jpg

3300.jpg

4096.jpg

3000.jpg

4289.jpg

3000.jpg

2048.jpg

Na sisi tuondoe hii takataka!

Askari-Monument.jpg

179.JPG

maxresdefault.jpg

P2212955-Livingstone-Museum-1018x460.jpg
 
swahiba akili yako imeathirika sana.. tuache masanamu ya kiarabu bagamoyo????????????????????????????? ninyi watu wa namna yako uwezo wenu wa kufikiri ukoje? unadhan mgomvi wenu ni mzungu? mgomvi wenu ni ninyi wenyewe...mnahangaika na mzungu ambaye ana maisha yake mazuri tu ambayo kwa asilimia 80 mnayategemea kwa kutumia vitu alivyoanzisha.

Sasa imeshakuwa Muzungu vs Mwarabu? Uislamu vs Ukristo? umeshavukia huko? Ni wapi kuna Sanamu ya Mwarabu Tanzania? Unaweza kuiweka hapa pia tuijadili, isitoshe kwangu haijalishi ji wapi hata ingekuwa ya Kichina au Kihindi tupige chini tuweke yetu!

Ni ajabu Uzungu unakuuma klk Muzungu mwenyewe ambaye anauungana na watu weusi kuyaondoa hayo masanamu!
 
Jina lako la barbarosa ni la kabila gani inchini au africa? unatumia simu na computer wamegundua wao..kujitambua kwako kuna badilisha nini? wewe huwezi jitambua kwa sababu huna utambuzi.

Mnakaa kupoteza muda na mambo ya kipuuzi badala ya kuhangaikia watu waende shule na vyuo vya elimu ya kuwafungua akili na si ya kuwafunga akili kwa ambo ya kipuuzi. adui yako ni wewe mwenyewe usitafute nje.

Bila ya kujitambua hkn Maendeleo, na ndo maana tunazunguka mbuyu tu, Maendeleo yanaanza na kujitambua kwanza na hii ni pamoja na kuita Ziwa letu jina letu na siyo Viktoria!
 
sijazungumzia dini maana hata dini yangu huijui kama ambavyo mimi siijui yako. kuna masanamu yapo bagamoyo ya waarabu na wafungwa. wala si jambo la kificho. hata tabora kuna kijiji kuna sanamu ya waarabu. mimi sioni sababu maana kama ni alama au uzalendo tuondoe na reli waliyojenga wajeruman , na ikulu tuibomoe...
Sasa imeshakuwa Muzungu vs Mwarabu? Uislamu vs Ukristo? umeshavukia huko? Ni wapi kuna Sanamu ya Mwarabu Tanzania? Unaweza kuiweka hapa pia tuijadili, isitoshe kwangu haijalishi ji wapi hata ingekuwa ya Kichina au Kihindi tupige chini tuweke yetu!
 
jina lako la barbarosa ni la kabila gani inchini au africa? unatumia simu na computer wamegundua wao..kujitambua kwako kuna badilisha nini? wewe huwezi jitambua kwa sababu huna utambuzi. mnakaa kupoteza muda na mambo ya kipuuzi badala ya kuhangaikia watu waende shule na vyuo vya elimu ya kuwafungua akili na si ya kuwafunga akili kwa ambo ya kipuuzi. adui yako ni wewe mwenyewe usitafute nje.

Barbarosa siyo jina langu, kuondoa masanamu ni mwanzo wa kujitambua, computer haina uhusiano wowote ule na Uzungu, kama ulikuwa haujui!
 
sijazungumzia dini maana hata dini yangu huijui kama ambavyo mimi siijui yako. kuna masanamu yapo bagamoyo ya waarabu na wafungwa. wala si jambo la kificho. hata tabora kuna kijiji kuna sanamu ya waarabu. mimi sioni sababu maana kama ni alama au uzalendo tuondoe na reli waliyojenga wajeruman , na ikulu tuibomoe...

Ndiko ulikolenga huko kwa akili yako ulifikiri mimi ni Muislamu hivyo nawachukia Wazungu na kuwapenda Waarabu ndivyo unavyodhania kwa maana umekuwa programmed hivyo, unafikiri ukiwa Mkristo basi Muzungu ni ndugu yako na unapaswa umetetee na ukiwa nu Muislamu basi Mwarabu ni ndugu yako, wkt Waafrika wote tuliuzwa na kuteswa na Waarabu na Wazungu, Waislamu na Wakristo!

Hivyo hapa siyo Uislamu vs Ukristo bali ni kujitambua kwa Mwafrika ili tuanze maendeleo ya kweli!
 
Hilo swala inabidi mlijadili ndani ya chama kwanza maana tukiingilia hizo mambo na mlishasema hamjaribiwi ,tusijetukawekana vilema vya maisha bila sababu za msingi.

Mkuu umefanya siku yangu iwe njema
 
Ndiko ulikolenga huko kwa akili yako ulifikiri mimi ni Muislamu hivyo nawachukia Wazungu na kuwapenda Waarabu ndivyo unavyodhania kwa maana umekuwa programmed hivyo, unafikiri ukiwa Mkristo basi Muzungu ni ndugu yako na unapaswa umetetee na ukiwa nu Muislamu basi Mwarabu ni ndugu yako, wkt Waafrika wote tuliuzwa na kuteswa na Waarabu na Wazungu, Waislamu na Wakristo!

Hivyo hapa siyo Uislamu vs Ukristo bali ni kujitambua kwa Mwafrika ili tuanze maendeleo ya kweli!

Safii mkuu
 
sasa kwa nini hukujiita kidume, sikudhani,siwema,mkwawa n.k kwa nini ujiite barbarosa? jina ambao si asili ya afrika. kusema kompyuta hazina uhusiano na uzungu wakati they are the ones invented itakuwa umetumia kinywaj ambacho ni kharamu si halal. maana katika macho ya nyama tu unajua kuna uhusiano wa hao watu na vitu vyao.
Barbarosa siyo jina langu, kuondoa masanamu ni mwanzo wa kujitambua, computer haina uhusiano wowote ule na Uzungu, kama ulikuwa haujui!
 
unachoongea ni kile ambacho kipo kichwan mwako. ukinionesha nlipotaja kabila lako au dini yako nitaombwa nipigwe ban. unawaza hayo sababu ndiyo yaliyokujaa.

"mimi nakuhamasisha pambana na hali yako ngumu" ndugu yangu hatambuliki kwa kuangalia rangi au dini yake. ndugu yangu ni yule ambaye tutasaidiana. kuna mijitu myeusi ina roho mbaya sana na mikatili kwa wenzao mpaka kuwaua au kuwang'oa kucha,kuwateka,kuwanyanyasa kuliko hata wazungu wanavyofanya kwa waafrika.

kama ambavyo kuna wazungu wenye tabia hizo. suala hapa si rangi... undugu si kufanana ni kufaana. sasa wewe kaa na dini yako au zako. sisi wengine tuna toa wito watu kupambana na halizao ngumu.

Back
Top Bottom