Na Pesa Yetu.. This is Why You Don't Buy Planes in Cash

kennedy0000

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
4,316
3,683
Baptism by fire.
Mmejigamba ndege mmenunua na pesa yenu.

We tried to explain to you that many airlines are choosing to lease not buy. Leased aircraft makes up almost 50% of the world fleet, up from less than 10% a few decades ago.

The dynamics of owning your planes are just too much.
In case of unexpected situations like you currently find yourself in, the whole baggage is yours to carry.

Kwanza vile ATCL ni 100% ya serikali, your planes will be very lucrative to all the foreign businessmen you have been mistreating over the decades.

Already, another company is suing your government in the UK after they generated for you power and you refused to pay.

Very soon usishangae zile kuku zetu mlichoma wenyewe wakienda mahakamani.

ATCL sitashangaa ikiwa reduced to local routes. 😂 😂 😂
 
Halafu tofauti ingekuwa ni ipi kama tungeikodosha? Si bado ingeshikwa tu?
 
Wivuuu, kwasababu ninyi hamna uwezo wa kununua ndege, mnataka na sisi tuwe kama ninyi sio?. Mwanzoni mlisema ATCL ni serikali, na serikali haipaswi kufanya biashara tuige mfumo wa KQ, ghafla serikali yenu ikaamua kuiga mfumo wa ATCL kwa kulirudisha KQ serikalini.

Ngoja nikuhorodheshehe mashirika ya ndege ambayo yamenunua ndege, sio kukodisha.
1) Ethiopia Airways
2)British Airways
3)Emirates
4)KLM
5)Turkey Airway
6)Qatar
7)SAA
8)Lufthansa
9)Swis Air
10)Singapore Airline

Mashirika yote haya yamenunua ndege zake wenyewe. Hahahaha, Hahahaha.
 
Wanaomzunguka JPM wana matatizo kwenye taaluma ya uchumi, hawamshauri ipasavyo, siku zote kwenye biashara haufai kutumia pesa taslimu kwa kitu usichokihitaji, lazima ujue jinsi gani ya kugawa hela yako, sio unajigamba gamba kwa watu kwamba unanunua kila kitu kwa pesa taslimu, wanaokudai watatiririka hadi utakoma.

Hizi aibu ndogo ndogo za ndege kukamatwa, mara nyngine ikakamatwa na mabeberu Canada, hujatulia baada ya kuilipia nyingine imekamatwa na mkulima, sasa wameshapata jeuri na ujanja.
 
Unaongelea keitalk ama jamiiforums we ndumilakuwili
 
Aside owning an aircraft alone, have they considered how much a parking costs at lets say heathrow airport in UK, and how much tou have to pay atleast not to be burning fuel everytime you reach a foreign airport and instead of landing you get thrown to the holding pattern jus because the emiratis airlines have to land first?
 
Wivuuu, kwasababu ninyi hamna uwezo wa kununua ndege, mnataka na sisi tuwe kama ninyi sio?. Mwanzoni mlisema ATCL ni serikali, na serikali haipaswi kufanya biashara tuige mfumo wa KQ, ghafla serikali yenu ikaamua kuiga mfumo wa ATCL kwa kulirudisha KQ serikalini.

Ngoja nikuhorodheshehe mashirika ya ndege ambayo yamenunua ndege, sio kukodisha.
1) Ethiopia Airways
2)British Airways
3)Emirates
4)KLM
5)Turkey Airway
6)Qatar
7)SAA
8)Lufthansa
9)Swis Air
10)Singapore Airline

Mashirika yote haya yamenunua ndege zake wenyewe. Hahahaha, Hahahaha.

Acha lies wewe!
 
Huu ukichaa ndio unayoifanya Kenya kukopa kwa kila mradi, hata kama ni pesa kidogo. Huwezi kuacha kufanya maendeleo kwa sababu ya Madeni, Kenya ndio nchi inayoongoza kwa kudaiwa katika ukanda huu.

Haya Madeni yote hayafiki hata $50M, na yote yalikopwa katika awamu za nyuma. Hivi nchi yenye kulipa zaidi ya $10B katika miradi ya Rufiji dam + SGR + ATCL, itashindwa kulipa $50M?. Tatizo ni watendaji kuzembea kulipa hayo Madeni, hatuwezi kumsimamisha kufanya maendeleo kwa sababu ya kuogopa kulipa pesa ndogo kama hiyo.
 
Aside owning an aircraft alone, have they considered how much a parking costs at lets say heathrow airport in UK, and how much tou have to pay atleast not to be burning fuel everytime you reach a foreign airport and instead of landing you get thrown to the holding pattern jus because the emiratis airlines have to land first?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Baptism by fire.
Mmejigamba ndege mmenunua na pesa yenu.

We tried to explain to you that many airlines are choosing to lease not buy. Leased aircraft makes up almost 50% of the world fleet, up from less than 10% a few decades ago.

The dynamics of owning your planes are just too much.
In case of unexpected situations like you currently find yourself in, the whole baggage is yours to carry.

Kwanza vile ATCL ni 100% ya serikali, your planes will be very lucrative to all the foreign businessmen you have been mistreating over the decades.

Already, another company is suing your government in the UK after they generated for you power and you refused to pay.

Very soon usishangae zile kuku zetu mlichoma wenyewe wakienda mahakamani.

ATCL sitashangaa ikiwa reduced to local routes. 😂 😂 😂
This Tz government is being run like a rogue state.Mara wanachoma kuku za watu ,they issued a tax bill of $190bn to Acacia Mining Inc ,they refuse to pay debts then planes are seized ,they seize private farms and get sued ,they shoot a vocal opposition MP,they issued a directive of no school for pregnant girls,they urged their people to give birth so the economy can grow bigger...and so on.
 
Ongea lugha ya sadc plz sisi hatuongei lugha za eac
 
This Tz government is being run like a rogue state.Mara wanachoma kuku za watu ,they issued a tax bill of $190bn to Acacia Mining Inc ,they refuse to pay debts then planes are seized ,they seize private farms and get sued ,they shoot a vocal opposition MP,they issued a directive of no school for pregnant girls,they urged their people to give birth so the economy can grow bigger...and so on.
Msipofuata sheria za Tanzania tutaendelea kuchoma vifaranga, kutaifisha mifugo yenu na kuwafurusha wakenya wanaoishi nchini bila vibali husika, na hamuwezi kutufanya lolote.

Acacia tumempa bill ya $190B, alipoleta ujanja tumemfurusha nchini, sasa hivi mazungumzo wanaendelea na Boss wake kuona watalipaje, kumbuka tayari Barric wamekubali kulipa $300M kama dalili ya kuonyesha kutaka maridhiano.

Huko Kenya wazungu wanawapiga risasi wakulima na wafugaji wanapokaribia mashamba yao na serikali haiwezi hata kuwagusa, Tanzania ni nchi huru , "Kenya not yet Uhuru".
 
Hii kesi ya South Africa itafungua floodgates.
Wale wote mlionyanyasa wako njiani.
 
Wivuuu, kwasababu ninyi hamna uwezo wa kununua ndege, mnataka na sisi tuwe kama ninyi sio?. Mwanzoni mlisema ATCL ni serikali, na serikali haipaswi kufanya biashara tuige mfumo wa KQ, ghafla serikali yenu ikaamua kuiga mfumo wa ATCL kwa kulirudisha KQ serikalini.

Ngoja nikuhorodheshehe mashirika ya ndege ambayo yamenunua ndege, sio kukodisha.
1) Ethiopia Airways
2)British Airways
3)Emirates
4)KLM
5)Turkey Airway
6)Qatar
7)SAA
8)Lufthansa
9)Swis Air
10)Singapore Airline

Mashirika yote haya yamenunua ndege zake wenyewe. Hahahaha, Hahahaha.

Tofauti ni kwamba hizo nchi unataja ni developed.
Nyinyi maskini wa kutajia. Mmeshindwa kulipa madeni yenu, lakini ndege mnataka kununua.
 
Back
Top Bottom