Sio picha ya maigizo hii.
Hii ni kweli, huyu ni padri/mchungaji (sina uhakika wa dhehebu gani), hapa alikuwa anafungisha ndoa ya mpendwa.
Hakika siku hizi urembo wa ngozi ni changamoto kwa sisi wote wake kwa waume, cheers!
Si kila aliyebadilika rangi amejichubua jamani. Nina rafiki yangu ana fungus zinamsumbua miaka, Aga Khan wamempa midawa hiyo ukimuangalia maeneo yote ambayo anafunikwa na nguo ni mweupe pyee na maeneo yanayokuwa wazi wakati mwingi ni mweusi mweusi hususan kwenye viganja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.