Na mimi nko huku

the boss13

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
422
215
wadau wa jf naomba mnipokee nimejiunga kwa ajili ya kushea different ideas na kuwa updated na mambo mengi,,,,, jf z the soln
Naomba kuwasilisha wana jamvi
 
wadau wa jf naomba mnipokee nimejiunga kwa ajili ya kushea different ideas na kuwa updated na mambo mengi,,,,, jf z the soln
Naomba kuwasilisha wana jamvi

unakaribishwa ila hiyo id yako naona inafafana na ya member humu ndani.
 
Karibu ila usianze kuchunguza makochi sijui ya zamani maea kabati lina mende mara siling boad imetoboka, fata yalio kuleta, sawaaa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom