Asante mkuu ni jina la asili.eeeer...karibu mkuu.......
jina lako tu nimelipenda kwa kweli
Asante mkuu ni jina la asili.
Karibu MAKENDElu,karibu sana mkuu.
Karibu MAKENDElu,karibu sana mkuu.
Ni furaha kwangu kujiunga na jamii forum naomba ushirikiano wenu,naheshimu mawazo yenu kwa kua wengi wenu mnaitakia nchi yetu mema wakati huu mgumu kiuchumi.
Hallow. Mi nimekosa pakuingilia