Na mimi nimo ndani.

Makendelu

Member
Sep 27, 2012
13
7
Ni furaha kwangu kujiunga na jamii forum naomba ushirikiano wenu,naheshimu mawazo yenu kwa kua wengi wenu mnaitakia nchi yetu mema wakati huu mgumu kiuchumi.
 
eeeer...karibu mkuu.......
jina lako tu nimelipenda kwa kweli
 
Ni furaha kwangu kujiunga na jamii forum naomba ushirikiano wenu,naheshimu mawazo yenu kwa kua wengi wenu mnaitakia nchi yetu mema wakati huu mgumu kiuchumi.

aiseeeee babaangu mimi ndie mpokeaji mkuu hapa embu 2ma vocha ya buku 2 hii namba 0715800800
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom