Na mimi natafuta mchuchu!

Oct 22, 2010
78
0
Jamani na mimi nimechoka upweke natafuta mchumba wa kuoana naye baada ya kila mmoja wetu kuridhika na mwenzie. Jinsia ya ninae mtafuta; female. Umri; 18 - 24. Rangi; yoyote kati ya mweupe/mweusi/maji ya kunde. Elimu; angalau form four. Elimu yangu chuo kikuu. Imani; mkristo. If you are interested, please drop me a message. Peace & Love.
 
Kila la kheri..ila ukweli mwenzi bora hutoka kwa bwana... sali sana kwa hilo ombi lako!!na ukishampata uzidi kusali ndoa yako iwe poa!!
 
Jamani na mimi nimechoka upweke natafuta mchumba wa kuoana naye baada ya kila mmoja wetu kuridhika na mwenzie. Jinsia ya ninae mtafuta; female. Umri; 18 - 24. Rangi; yoyote kati ya mweupe/mweusi/maji ya kunde. Elimu; angalau form four. Elimu yangu chuo kikuu. Imani; mkristo. If you are interested, please drop me a message. Peace & Love.

wapi sasa nii-drop hiyo message?...hapa hapa......:nono:
 
Jamani na mimi nimechoka upweke natafuta mchumba wa kuoana naye baada ya kila mmoja wetu kuridhika na mwenzie. Jinsia ya ninae mtafuta; female. Umri; 18 - 24. Rangi; yoyote kati ya mweupe/mweusi/maji ya kunde. Elimu; angalau form four. Elimu yangu chuo kikuu. Imani; mkristo. If you are interested, please drop me a message. Peace & Love.

Una hela weye? Wewe sema akiba yako benki. Wadada siku hizi hawahitaji CV za hiyo red. Otherwise, nikutafutie Sugar Mummy, mtoto utulie utunzwe kwa kila kitu. Ukimaindi, nijulishe nikutafutie mimama yenye hela zao.
 
Lol....si mchezo....
 
Abraham kila la kheri kaka yangu...utapata tu mwenza kuwa na subira
 
Jamani na mimi nimechoka upweke natafuta mchumba wa kuoana naye baada ya kila mmoja wetu kuridhika na mwenzie. Jinsia ya ninae mtafuta; female. Umri; 18 - 24. Rangi; yoyote kati ya mweupe/mweusi/maji ya kunde. Elimu; angalau form four. Elimu yangu chuo kikuu. Imani; mkristo. If you are interested, please drop me a message. Peace & Love.
Aah brother hilo tu limekwisha ushapata weye tayari, leo pita pale kona baa utapata wa kumwaga wa umri huo unaotaka wamejaa kuazia pale zinapopaki bajaji, cost yake just nunua ndoo moja ya OMO kilo ishirini chukua mpira wa maji yenye presha ya kutosha kampige sop ya nguvu uondoe uvundo na harufu za ajabu ajabu za vikwapa spray na perfum zisizoeleweka then mpeleke hosii mkapimwe, ukimaliza mpeleke kanisani akaombewe atubu kabisaa na wewe pia then mpige shoping ya hadhi yako, halafu endelea kula mahewa mdogomdoooogo, ungesema kuanzia mia 30 kuendelea ushauri ungekua mwingine tena ulo advance zaidi.
JESUS IS MY HOME BOY.
 
mnh ile stori ya pdidy inaelekea kupotosha some of us...
wee ukimwi upo na unaua!!!!!
 
Ni kweli ukimwi upo na unaua, kinacho nichosha zaidi watu wanajua lakini sijui nikwamba shetani anawazidi nguvu au nini sijui.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom