Na mim natafuta mukazi wange SERIOUS….

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,508
216
Jamani niko serious, nasaka mchumba………..naona upweke sasa unataka kunitoa roho………………
Sifa
1. Awe mwanamke (sihitaji ma-BWABWA)
2. Awe tayari kwa ndoa ya kikristo (asahau kabisa mambo ya beijing)
3. Umri – wa serikali na kuendelea
4. Kiburi na suala zima la tabia kwangu sio issue, nina uhakika nitaweza kmdhibiti na asifurukute
5. Elimu-yoyote (ili mradi awe trainable, nitamu-upgrade hadi anapoweza kufika)
6. Kazi -si kigezo, mi ni mwanume halisi, (sio wale anaoimba jDee kuwa kama mabinti)
Ndoa hii haitaweza kuvunjwa isipokuwaa tu kama atatoka nje ya ndoa. Makosa mengine yote yatavumiliwa na kushughulikiwa kadiri itakavyoonekana inafaa

Nitafurahi kama mwombaji atakuwa tayari kufunga ndoa mwaka huu na kuja tuishi huku majuu. Mimi ni mwanmume wa uhakika, ninaweza kuishi na familia popote hapa duniani raha mustarehe, kwa hiyo asihofu kubeba mabox

Wale nilikwishapishana katika maisha nao wanaruhusiwa kure-apply kama bado wako interested kwani safari hii nafunga pazia jumla……………

Mtoto mzuri pearl and other JF singles are highly encouraged to apply

Matokeo ya zoezi hili yatatolewa baada ya mashauriano na mchumba mteule………………… (kama hatakuwa tayari kutangazwa, basi tutauchuna)…………….

Maombi yote yatumwe kwa private messege (PM) tu……………
 
Nakutakia kila la kheri katika zoezi lako ndugu, mtangulize Mungu kwa kila jambo na utafanikiwa.
 
We hawa wengine wake za watu ukitaka uapply mwenyewe kwa PM. Ila nakushauri hawa huwawezi manake mkimbia mbio fupi ukimpeleka ndefu umemmaliza

wake za watu mbona ndio wazuri kwani ni "pre-screened"................. yaani wako tayari, plug and play................... wakiwa tayari kuomba talaka wakahalalishwa kisheria poa tu nao wnakaribishwa..............
 
Nitatuma kwani dedline ni lini:rolleyes:
si inaruhusiwa kuwa na waume 2 na zaidi au??

deadline ni siku nitakapopata................ madume mawili ruksa, lingine si litakufa kifo cha kawaida? we apply tu tutasolve, hiyo ishu ndogo tu mbona???????? ...........................
 
No 1, 3 na 4 nimecheka kweli mkuu..Eniwei all the best ktk kumtafuta mwenza wa maisha AK!!
 
mkuu nakutakia kila la kheri ukifanikiwa utujulishe ili na sisi amabo hatujabahatika tufuate nyayo zako, kama umemshirikisha Mungu kabla ya hapa utakuwa umefanya jambo jema kama sivyo hujachelewa embu jaribu kumshirikisha kwanza Mungu kwa kuanzia uwaombe msamaha wale mabinti woote ambao hukuwatendea haki, i mean uliwaliza then ndo umwombe Mungu ukifanya hivyo mbona ata kupa mkwe mwema mara moja tu

all the best man
 
Nimeshakamatwa mie bado tu kuwekwa ndani, inshallah tutazipiga pingu mambo yakienda vyema..
Naona Sista S kashachangamkia, sasa usilaze damu..PM muangaliane kama mnaendana!..


Hongera sana dada Belinda mungu azidi kuwabariki.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom