na mchumba wangu ila sijui kama nampenda nifanyeje???????????

batadume

Senior Member
Mar 4, 2011
101
7
oyaaa mazeee na mchumba wangu ila sijui kama nampenda b'se nikikaa huwa some times namuona waukweli tena nikikaa some times namuuona wakiuwongo kama nime ingia choo cha kike vile nifanyeje sasa hii issue inanisumbua sana kichwa changu waungwana hebu naombeni msaada wenu wakimawazo zaidi>>>>>>>
 
nani kakwambia hapa kuna wahuni wenzio??

yaani mzee mzima ka miye unaweza kuniita oyaaa mazee?????????
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mhhhh mchumba au gf au demu na wewe???

Sasa kama wewe mwenyewe huna hakika kama unampenda ama vp c tukusaidiaj???

Na kama ni mchumba mpk sasa hujielew pole yake???
 
ahhaaaaaaaaaa poa kama mmeamua kunidisss kama vip hav agood Easter friend of mineeeeeeeee................................................
 
kwanza huna hata shukrani ww hembu ona ranks zako
Join Date : 4th March 2011
Posts : 42
Thanks0 Thanked 2 Times in 2 Posts

Rep Power : 0
unachojua ww ni kupost thread tu!!

Nenda bana.
 
duuu umeniandama ndugu yangu au hujaipenda post yangu?????????? but don't mind kama nime kukwaza forgive me!!!! kuhusu my post nip serous about ranks isikuumize kichwa sana bado sijapata full experience in this JMF BUT AS TIME GO NITA IMPROVE
 
post yako mie sijaichukia ila the way ulivyoiwakilisha!! umeandika kihuni sana, sijajua unachowaza kichwani kwako.

Unajua imeandikwa " akinenacho mtu ndicho kimjazacho moyo" hivyo unaonekana kama muhuni tu, haijalishi kama uko serious au lah!!
 
HIYO NDO SALAMU MKUU,HAPA HAKUNA MATEJA:director:

oyaaa mazeee na mchumba wangu ila sijui kama nampenda b'se nikikaa huwa some times namuona waukweli tena nikikaa some times namuuona wakiuwongo kama nime ingia choo cha kike vile nifanyeje sasa hii issue inanisumbua sana kichwa changu waungwana hebu naombeni msaada wenu wakimawazo zaidi>>>>>>>
 
Chukua muda wako ujiulize moyoni mwako usikimbilie kwenye maamuzi ambayo yatakutesa maisha yako yooote. Pole kwa mashushu ila ujue namna ya kuwakilisha hoja yako sio unashuka tu na mistari ya kitaani
 
Hapa ni mahal pa great thinkerz so hatutegemei lugha za mtaan au lugha za kihuni.natumai umejifunza. Ni vema ukauchunguza moyo wako kwani sie hatujui unapenda nin katika maisha yako.
 
Tutumie lugha za kistarabu tujue jinsi ya kuaproach watu hii sio fcebuk kwa watoto humu kuna hadi wazazi wako hata babu zako so tuache lugha za mtaani vijana wengi mnakuja kwa pupa kwenye jf tuache think before write na sio kukurupuka
 
oyaaa mazeee na mchumba wangu ila sijui kama nampenda b'se nikikaa huwa some times namuona waukweli tena nikikaa some times namuuona wakiuwongo kama nime ingia choo cha kike vile nifanyeje sasa hii issue inanisumbua sana kichwa changu waungwana hebu naombeni msaada wenu wakimawazo zaidi>>>>>>>

Oyaaaaa!
Sharobaro BataDume
Kama vp kusanya manyoya ya kuku 6 wa kitasha, chemsha, kamulia ndimu 3 halafu mwanangu miminika mwenyewe tumboni . . .
Basi mchizi utaona freeeeesh jinsi demu alivyo, wala hutauliza tena mwana
 
Back
Top Bottom