Na majivuno yote hayo, mpaka leo Magufuli hajavunja record ya GDP iliyoachwa na Kikwete

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
Mwanzoni, Rais Magufuli alivyokuwa ameingia madarakani, alijitapa sana na statistics za Ukuaji wa uchumi. Kila aliposimama jukwaani lazima alizungumzia kuwa Tanzania uchumi unakuwa kwa 7.0 to 7.1.

Leo nimepambana na data zinazoonesha ukuaji wa uchumi wa Tanzania toka 2007 hadi 2017. Inaonesha mwaka 2007 Tanzania ilivunja record kwa kukuza uchumi kwa 8.5%


Na mwaka 2011 ( baada ya uchaguzi), uchumi ulikuwa tena kwa kasi ya ajabu hadi 7.9%. Kuna miezi mitatu uchumi ulikuwa had 9.0%.

Uchumi kushuka sana ilikuwa mwisho ni 5.1.

Toka Magufuli aingie hajawai kuzidi 7.1%. Toka mwaka jana uchumi upo chini ya 6.0%. IMF nao wasema utakuwa chini ya 4.1%.

Hivi JK aliwezaje haya na hakujitamba? Kwann JK aliweza haya yote na hakuimbiwa ngonjera TBC kila kipindi cha kumsifu? Kwann JK alifanya vizuri hivi na hatukusikia akijigamba?

Popote ulipo JK Mungu akubariki sana. Ulituacha pazuri ila ulituachia mvurugaji. Sasa hivi hafikii hata nusu ya kasi yako ya ukuzaji wa uchumi.

Huu ni muda wa watanzania kutafakari na kuchukua hatua.
Tanzania-GDP-growth-2007-2017-CR.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naipenda nchi yangu Tanzania

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Kwani hamjui hesabu chukua kipindi cha Kikwete jumla gawanya kwa idadi then chukua kipindi cha Magufuli jumla gawanya kwa idadi basi utaona nani zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demokrasia na utawala bora mara nyingi huwa chachu ya ukuaji uchumi na maendeleo katika mataifa mengi. Unapokuwa na kiongozi au mtawala wa nchi asiyejali wala kuheshimu misingi ya demokrasia na utawala bora, hata ukuaji wa uchumi huporomoka na pia kudumaza maendeleo yaliyofikiwa na nchi husika. Ukatili, roho mbaya, ufisadi na kutojali wala kuheshimu raia wako ni moja ya chanzo kikuu kinachoweza kuangusha uchumi wa taifa lolote.
 
Miradi aliyofanya JK na kuikamilisha laiti JPM ndo angeifanya TBC wangeimba sifa masaa 24/7

JK alikuwa anajua anafanya nini cha kipaumbele.

Namshukuru sana JK kwa kuwezesha Ujenzi wa Maelfu ya shule za kata nchini, Japo mwanzo tulimbeza kwa walimu wa vodafasta, lakini kumbe mwanzo lazima uwe mgumu
 
Back
Top Bottom