Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,652
Mwanzoni, Rais Magufuli alivyokuwa ameingia madarakani, alijitapa sana na statistics za Ukuaji wa uchumi. Kila aliposimama jukwaani lazima alizungumzia kuwa Tanzania uchumi unakuwa kwa 7.0 to 7.1.
Leo nimepambana na data zinazoonesha ukuaji wa uchumi wa Tanzania toka 2007 hadi 2017. Inaonesha mwaka 2007 Tanzania ilivunja record kwa kukuza uchumi kwa 8.5%
Na mwaka 2011 ( baada ya uchaguzi), uchumi ulikuwa tena kwa kasi ya ajabu hadi 7.9%. Kuna miezi mitatu uchumi ulikuwa had 9.0%.
Uchumi kushuka sana ilikuwa mwisho ni 5.1.
Toka Magufuli aingie hajawai kuzidi 7.1%. Toka mwaka jana uchumi upo chini ya 6.0%. IMF nao wasema utakuwa chini ya 4.1%.
Hivi JK aliwezaje haya na hakujitamba? Kwann JK aliweza haya yote na hakuimbiwa ngonjera TBC kila kipindi cha kumsifu? Kwann JK alifanya vizuri hivi na hatukusikia akijigamba?
Popote ulipo JK Mungu akubariki sana. Ulituacha pazuri ila ulituachia mvurugaji. Sasa hivi hafikii hata nusu ya kasi yako ya ukuzaji wa uchumi.
Huu ni muda wa watanzania kutafakari na kuchukua hatua.
Sent using Jamii Forums mobile app