Na kwenu kuna mgao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na kwenu kuna mgao?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Jul 3, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,644
  Likes Received: 2,560
  Trophy Points: 280
  Jamani huu mgao utaisha lini vandugu? Shuguli zangu hutegeme umeme lakini kwa hali ilivyo naweza kuingi manzese au kwamtogole kwenye fani yangu ya zamani (ngeta)
   
 2. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kwetu sisi wa serikali hakuna mgao,pole sana
   
 3. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kwetu mgao upo tena tuna ratiba mbili za kukatika umeme kwa siku, ratiba rasmi ya saa2 asbh hadi 12 jioni, au 12 jioni hadi 5 usiku. Na kuna ratiba isiyo rasmi, hapo hukatika saa 7 usiku hadi 12 asbh.
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,105
  Likes Received: 10,421
  Trophy Points: 280
  kwtu balaa kwanza hakuna muda maalum wakiamua
  tu kata du nshazoea yaaani umeme ukiwepo nashangaaga sana
   
Loading...