Na kweli, hii ndiyo siasa waijuao magamba - kampeni na ubwabwa ?

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,063
22,755
Hadithi njoo, uwongo kolea
Uchaguzi njoo, ahadi kolea
CCM njoo, fulana na kofia kolea
Nape njoo, ubwabwa kolea
Rostamu njoo, takrima kolea
Kampeni njoo, shibe kolea

attachment.php

njaa mbaya,
njaa huua,
njaa hupunguza uwezo wa kufikiri,
njaa huleta uadui,
njaa huleta hasira.
Usicheze na njaa

ina maana shaba lilitowela kwa wananchi baada ya Mkapa kuhutubia?
Usitake niamini kuwa umati wote huo haukua unasikia mkutano,
bali ulikuwa unasubiri shaba

Hivi hii ni ile ccm iliyofanya ule mkutano pale kizota mwaka 87 au ni nyingine?
Na je? Huyu ni mkapa yule mtoto mwaminifu wa mwalimu nyerere?
Nini kimewasibu

Duuh! sidhani kama akili na mawazo ya huo umati vilikuwa kwy kampen

huuuuuuuuuuh..................hawa jamaaa yaani ni wanatumia kila mins ndo mana mikutano yao hujaa watto mana wanafata wali 2

rushwa ni rushwa tu haina rangi hi takakkukuru haioni hayo , ubovu si lazima livunde huanzia sehemu ndogo na kupwea, hay magamba bodo yanuka tu harufu nyngi.

HAWA MAGAMBA HUWA HAWAKOSI VITUKO SIKU ZOTE!

Hadithi njoo, uwongo kolea

Uchaguzi njoo, ahadi kolea

CCM njoo, fulana na kofia kolea

Nape njoo, ubwabwa kolea

Rostamu njoo, takrima kolea

Kampeni njoo, shibe kolea

hao wanasubiri kula,kwa maana wengi nawaona wameshavalishwa sare
Hadithi njoo, uwongo kolea
Uchaguzi njoo, ahadi kolea
CCM njoo, fulana na kofia kolea
Nape njoo, ubwabwa kolea
Rostamu njoo, takrima kolea
Kampeni njoo, shibe kolea

attachment.php

[/QUOTE]

Hadithi njoo, uwongo kolea
Uchaguzi njoo, ahadi kolea
CCM njoo, fulana na kofia kolea
Nape njoo, ubwabwa kolea
Rostamu njoo, takrima kolea
Kampeni njoo, shibe kolea

attachment.php

Tumbo liliyaponza masaburi yakatobolewa.

Back
Top Bottom