Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,326
Juzi juzi hapa mmesikia tangazo ya kwamba serikali imeweka bakubaliano na airbus company kununua ndege 2 mpya .
Na baada ya siku kama 3 au 4 tukasikia tangazo kwamba wale wote wenye tuhuma za uhujumu uchumi wanaweza kuomba msamaha na kulipa fedha wanazo daiwa.
Huu ndio ujasiri tulionao kwamba tunanunua ndege kwa fedha zetu wenyewe baada ya kuona kuna fedha zimelala gerezani zinakula ugali wa bure.
Maskini hawa ndio hao hao inasemekana account zao zilikua compromised wakiwa gerezani.
Lakini sasa ni kweli ndege zitakuja na change zitabaki maana inaaemekana kuna zaidi ya bil 600 wanazo daiwa.
Lakini Je ni kweli hawa watu wanadaiwa kiasi hicho?
Je kuwalazimisha wakiri makosa na kulipa hata kama hawakutenda makosa hayo ili watoke gerezani ni haki?
Tuna uhakika gani kwamba fedha hizo zitaenda kwenye matumizi ya serikali?
Je ni lini tumekua na utaratibu kama huu?