Na huakika na wewe inakukera!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Mimi nachukia wadada mnaovaa Skintite mnaondoa maana halisi ya mwanamke!!
 
Tena kwa kiasi kikubwa hii imeshusha kiwango cha mpira wa pete, nakumbuka enzi za mashindano ya nje cup pale gerezani tulikuwa midume tunajaa kuangalia vyupi, sasa hizi skin tight zikaja kuharibu mambo kabisa na mpira wa pete umekosa washabiki.
 
we ecoli kumbe unapenda chabo enheee..
 
Tena kwa kiasi kikubwa hii imeshusha kiwango cha mpira wa pete, nakumbuka enzi za mashindano ya nje cup pale gerezani tulikuwa midume tunajaa kuangalia vyupi, sasa hizi skin tight zikaja kuharibu mambo kabisa na mpira wa pete umekosa washabiki.
<br />
<br />
lolololo uko nje ya mada kabisa
 
Kwa ujumla mavazi ya dada zetu yanatia fora hasa mavyuoni. Mwingine anakuvalia nguo inaonyesha mpaka rangi ya nguo ya ndani
 
We better rename it superglue tight because it is tightier than the skin and one feels free without it.
 
Tena kwa kiasi kikubwa hii imeshusha kiwango cha mpira wa pete, nakumbuka enzi za mashindano ya nje cup pale gerezani tulikuwa midume tunajaa kuangalia vyupi, sasa hizi skin tight zikaja kuharibu mambo kabisa na mpira wa pete umekosa washabiki.

ya ya ya ya, ko inamana Ecoli now umepoteza sifa za kuwa kidume,kisa hujapiga CHABO ya vichupi kitambo?
 
mimi wala hainikeri napenda kweli tena huwa inanipa m,shashawa tena usikute ana masaburi makubwa halafu hajavaa chupi
 
Back
Top Bottom