INNALILLAH WAINNAILLAH RAAJIUUN.Ni kero sehemu nyingine ni Mara mbili kwa mwezi.
Binafsi ningependekeza ukaguzi ufanyike watu wakiendelea na kazi zao,isipokuwa eneo lako likikutwa na uchafu ambao umeachwa uzagae na wakati unaendelea na shughuli ndipo ulipishwe faini.
Hii ya kufunga hadi pharmacy na huduma za chakula inaumiza watu sana.
Kuna mtu alikuwa na mgonjwa wametoka kijijini amefika Hosp.usiku,asubuhi ameandikiwa dawa za dripu ikabidi aende kuzitafuta bahati mbaya pharmacy zikawa zimefungwa,akaona amtafutie angalau chai au chochote wakisubiri saa nne!Akakosa pia kwani wauza vyakula wote walikuwa wakisubiri muda wa usafi uishe. Bahati mbaya mgonjwa alifariki.Inaweza kuwa hata njaa ilimuua.
Tuko nyuma sana kwa tunavyotenda na kufikiri.Hatutumii mantiki kabisa.
Ni kero sehemu nyingine ni Mara mbili kwa mwezi.

Huo ni upumbavu kama upumbavu mwingine tu...alafu wale wagambo na mabwana zao wana viherehere kweli!Kwa kweli tumekua watu wa ajabu sana ,viongozi wote tumemuachia magufuli afikiri juu yetu
Kuna utaratibu wa ajabu Sana kuwa siku ya jumamosi utakuta maduka asubuhi yamefungwa mpaka saa nne eti sababu ni usafi na ukifungua unakamatwa faini 50000,
Kwanini serikali isiwaruhusu watu wafungue then waendelee kutoa huduma mtu anaweza kumpa kijana hela aendelee kufanya usafi eneo lake wakati yeye akiendelea na biashara,
Dodoma ndo imekua kero maduka yote yamefungwa na ajabu hakuna anaefanya usafi so watu wanasubiri tu mda ufike afungue , serikali nashauri iruhusu mtu aendelee kufanya biashara na wakati usafi ukiendelea kwanza mtatoa ajira ya vijana wengi maana kijana atapewa 3000 au zaid ya kufanya usafi huku tajiri akiendelea kufanya biashara kuliko kulazimisha kufunga duka na usafi haufanyiki,