Na hii ni fasheni au jamaa ni 'Boflo'!!

jamani zipo THONG ZA KIUME ingawa hio fasheni kwangu ni no no no no no.........................
 
kwani zile VIP zilikuwagaje? mbona zilikuwaga hivyo tu, nakumbuka primary kuna mdada alikuwa anaivaa tukiwa class two i think,.
 
kwani zile VIP zilikuwagaje? mbona zilikuwaga hivyo tu, nakumbuka primary kuna mdada alikuwa anaivaa tukiwa class two i think,.

VIP zilikuwa zikivikumbatia viuongo vyote kwa pamoja na kwa upendo mkuu, tatizo lilikuwa ni pale maungio yake yanapoamua kuachana, utaikuta VIP iko kifuani imetuliaaaaaaaa.
 
Ndibalema....

Yaani umekosa jina la kufafanua mpaka utumie jina langu??
Da! Mkuu tusameheane, nimekuja kustukia baadae sana. Lakini mavi ya kale hayanuki mzee mwenzangu. hiyo post ni ya kitambo.
 
hii ni juice ya mchicha tu hamna cha zaidi na alijua tu atapigwa picha na waandishi apate advertisement.
 
kazi kweli kweli. karibu mtavaa na bra

PIC_0287.jpg

Jembe ally remtullah kushoto
 
Back
Top Bottom