Na Hii Ndio Maana Ya Kuzomewa Kwa Zuma na Dr. Slaa Kigoma

Status
Not open for further replies.
Apr 27, 2006
26,588
10,375
- Wote wawili hawajui Demokrasia ndio maana wamezomewa, Sheria ya Demokrasia toka ilipozaliwa Greece ni kwamba ikibanwa huwa inatafuta njia ya kusema kubanwa kwake na huwa ina tabia ya kusema kwa kutumia njia nyingi sana ila tatizo ni kama walengwa wamesikia. Tatizo la Zuma ni lile lile la Chadema na Dr. Slaa, uwazi wa mahesabu ya matumizi ya chama, wote wamejibu kwa kukurupuka Zuma alimfukuza Malema na huku wenzetu wamemfukuza Zitto lakini wote wawili hakuna aliyegusa hoja za Malema na Zitto, ndio maana watazomewa mpaka watakapojifunza kusikiliza sauti ya Demokrasia iliyobanwa.

- Majuzii Katibu Mkuu wa CCM Kinana, katika ziara zake Mikoani aidha Mawaziri wamezomewa au kulaumiwa sana na wananchi mbele ya Kiongozi huyo mkuu wa chama, matokeo jana mawaziri wote wahusika wameitwa na Kamati Kuu ya CCM kujibu mashitaka yao na sababu za kuzomewa kwao, that is Democracy na ndio maana CCM itaendelea kutawala kwa muda mrefu sana kama kilivyo sasa Chama kikongwe cha siasa kwenye madaraka kwa mudaa mrefu kuliko vyote Afrika.

Habari Inaendelea kwenye gazeti la kesho na kila Jumapili la Jambo Leo Uchambuzi wangu.

Le Mutuz Big Shoow
 
Ndo uwezo wako ulpofkia hapo
 
- Wote wawili hawajui Demokrasia ndio maana wamezomewa, Sheria ya Demokrasia toka ilipozaliwa Greece ni kwamba ikibanwa huwa inatafuta njia ya kusema kubanwa kwake na huwa ina tabia ya kusema kwa kutumia njia nyingi sana ila tatizo ni kama walengwa wamesikia. Tatizo la Zuma ni lile lile la Chadema na Dr. Slaa, uwazi wa mahesabu ya matumizi ya chama, wote wamejibu kwa kukurupuka Zuma alimfukuza Malema na huku wenzetu wamemfukuza Zitto lakini wote wawili hakuna aliyegusa hoja N
 
Vipi kikao cha Dodoma umesalimika kweli..

Nasikia ajenda ya mengineyo ilikua kuwavua uongozi makada mzigo kwa chama baada ya mawaziri mzigo
 
Akili ya Kambale.
Mmezomewa sana hapa Tanzania hamjawahi kuita hiyo kitu Demokrasia mpaka alipozomewa Zuma???
Yaani mnatumia zomea zomea ya wa South kwa President wao Kujipandisha Chati.

Le Mtuzi ingengua bora usinge mtaja Zuma.

Mnacopy na kupaste mpaka jina????

Do!
 
- Wote wawili hawajui Demokrasia ndio maana wamezomewa, Sheria ya Demokrasia toka ilipozaliwa Greece ni kwamba ikibanwa huwa inatafuta njia ya kusema kubanwa kwake na huwa ina tabia ya kusema kwa kutumia njia nyingi sana ila tatizo ni kama walengwa wamesikia. Tatizo la Zuma ni lile lile la Chadema na Dr. Slaa, uwazi wa mahesabu ya matumizi ya chama, wote wamejibu kwa kukurupuka Zuma alimfukuza Malema na huku wenzetu wamemfukuza Zitto lakini wote wawili hakuna aliyegusa hoja za Malema na Zitto, ndio maana watazomewa mpaka watakapojifunza kusikiliza sauti ya Demokrasia iliyobanwa.

- Majuzii Katibu Mkuu wa CCM Kinana, katika ziara zake Mikoani aidha Mawaziri wamezomewa au kulaumiwa sana na wananchi mbele ya Kiongozi huyo mkuu wa chama, matokeo jana mawaziri wote wahusika wameitwa na Kamati Kuu ya CCM kujibu mashitaka yao na sababu za kuzomewa kwao, that is Democracy na ndio maana CCM itaendelea kutawala kwa muda mrefu sana kama kilivyo sasa Chama kikongwe cha siasa kwenye madaraka kwa mudaa mrefu kuliko vyote Afrika.

Habari Inaendelea kwenye gazeti la kesho na kila Jumapili la Jambo Leo Uchambuzi wangu.

Le Mutuz Big Shoow

Ndugu Malecela ninekuwa ninafuatalia kwakaribu threads zako na nimegundua wewe hukubariki kabisa. sijui ni kwa nini? Ebu jaribu kutafakari zaidi ndugu yangu!
 
- Kaka mbona unaheshimika sana katika fani za uandishi na wewe unarukia treni kwa mbele badala ya kutulia na kutafakari kwamba CCM sasa ni imara kuliko wakati wowote ule wa uhai wake kwa sababu tu ya kusikia na kuifanyia kazi hiyo zomea zomea iliyowakuta at one time, hivi ni lini huko upande wa pili mtajifunza kujibu bila kukurupuka!!

Le Mutuz
 
The company of fools may first make us smile, but in the end we always feel melancholy (Oliver Goldsmith)
 
Ndugu Malecela ninekuwa ninafuatalia kwakaribu threads zako na nimegundua wewe hukubariki kabisa. sijui ni kwa nini? Ebu jaribu kutafakari zaidi ndugu yangu!

- Kukubarika na nani? wewe? ha! ha! ha! please usikose hilo gazeti kesho maana nimewachana kinoma sana!!

Le Mutuz
 
- Kaka mbona unaheshimika sana katika fani za uandishi na wewe unarukia treni kwa mbele badala ya kutulia na kutafakari kwamba CCM sasa ni imara kuliko wakati wowote ule wa uhai wake kwa sababu tu ya kusikia na kuifanyia kazi hiyo zomea zomea iliyowakuta at one time, hivi ni lini huko upande wa pili mtajifunza kujibu bila kukurupuka!!

Le Mutuz
"A learned fool is more a fool than an ignorant fool." (Molière)
 
- Bado nasubiri mwenye uwezo wa kuzigusa hoja u know!!

Le Mutuz

Yes! i know le mutuz toto ya kula kwa baba na mama, na ina mawazo machanga sana, isiyoendana na umri wake!

mara nyingi apenda ongea urojo urojo na kububujika upuuzi.

yes, i know le mutuz.
mutu isiyokuwa na maarifa kwa kichwa yake, waweza ipa paper ya drs la 6 na ikapata 32%.

le mutuz ni mtupu kwa kichwa yake.
 
- dUH! GENIUS MKAREEEZ U KNOW!!

lE mUTUZ
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom