Na hapa nani wa kulaumiwa? CCM? nope i will not buy

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
hatuwezi kila kitu kutoa lawama..
mafuriko bonde la msimbazi dar..
IMG_6172.jpg IMG_6174.jpg

ikulu
b28.jpg
 
Likipitishwa greda mnapiga kelele!!..... bora watu watanue kivyao tu!

Poleni.
 
life la uswazi bhana mtoto kabeba mtoto basi raha mstarehe....kuhusu nambari wani hapo huuambii kitu aisee
IMG_6172.jpg
 
Huwezi kuamini kuwa hapo ni Dar! Kweli kuna wananchi wanaishi katika mazingira duni sana! Natumai Prof. Tibaijuka ataona mazingira hayo na wizara itafanya juhudi katika kuboresha makazi ya watu.
 
hao mbuzi nawaonea huruma....... wamekaa kikitoweo-toweo tu aisee
 
Huwezi kuamini kuwa hapo ni Dar! Kweli kuna wananchi wanaishi katika mazingira duni sana! Natumai Prof. Tibaijuka ataona mazingira hayo na wizara itafanya juhudi katika kuboresha makazi ya watu.
Itakuwa kwenye programu ya kuadhimisha miaka 150 ya uhuru wa tanganyika enzi hizo ikiitwa tanzania
 
Back
Top Bottom