Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,123
DON'T IGNORE TO COMMENT: STOP ABORTION
Too bad
DON'T IGNORE TO COMMENT: STOP ABORTION
Duh!controversial statement!Alaaniwe amlaainie binadamu mwenzake.
God is the judge
Hakika Mungu ndiye muweza wa yote!They should change by the power of God
kWA KWELI INASIKITISHA SANA,MUNGU AWASAMEHE KWA WOTE WALIOFANYA HUU UNYAMA!daah nimekuwa down mno kwa kuona hii pic, just more info please, huyu inaweza kuwa ni kiumbe wa miezi mingapi? maana ni binadamu kabisa aliyekamilika na natafakari na kuelewa kuwa watu wanaposema mtoto akiwa tumboni kwa mama yake anasikia na kuelewa kama unaongea nae na anaumia na kufurahi yaania anakuwa na hisia zote kama binadamu maana hapo ni full binadamu
mkuu funguka ujasomeka vizuri!god knows sababu...
mungu anasamehe makosa makubwa na madogo!alaaaniwe na alaaniwe kabisa!
precisely mkuu!dunia imeharibika kabisa............................amen!
mungu atunusuru na maovu!too bad
hakika mungu ni muweza wa yote!amen and ameeeeen!
hakika mungu ni muweza wa yote!