Na alaniwe kila atoae mimba isemwe ameen.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
532515_551513274886987_2038712070_n.jpg

DON'T IGNORE TO COMMENT: STOP ABORTION
 
532515_551513274886987_2038712070_n.jpg

DON'T IGNORE TO COMMENT: STOP ABORTION

daah nimekuwa down mno kwa kuona hii pic, just more info please, huyu inaweza kuwa ni kiumbe wa miezi mingapi? maana ni binadamu kabisa aliyekamilika na natafakari na kuelewa kuwa watu wanaposema mtoto akiwa tumboni kwa mama yake anasikia na kuelewa kama unaongea nae na anaumia na kufurahi yaania anakuwa na hisia zote kama binadamu maana hapo ni full binadamu
 
kWA KWELI INASIKITISHA SANA,MUNGU AWASAMEHE KWA WOTE WALIOFANYA HUU UNYAMA!
 
Mpendwa 2ku2ku je ubuheri, nipoclear ya mungu mengi (yawezakuwa dada,mama,mke,binti,shemji/wifi nk) kwani sababu za kotoa mimba ni nyingi zipo (btwn life and death,accidents,abnormals nk) Sasa kuLaani itakuwa not fair mkuu. "nikujuze kuwa
Ukikusudia kutoa Laana, Hiyo Laana huzunguka mbinguni na ardhini isipo sibu mlengwa hukurudia mwenyewe" Looh
ndo nkasema God knows well !!
 
hakika mungu ni muweza wa yote!

Mpendwa 2ku2ku je ubuheri, nipoclear ya mungu mengi (yawezakuwa dada,mama,mke,binti,shemji/wifi nk) kwani sababu za kotoa mimba ni nyingi zipo (btwn life and death,accidents,abnormals nk) Sasa kuLaani itakuwa not fair mkuu. "nikujuze kuwa Ukikusudia kutoa Laana, Hiyo Laana huzunguka mbinguni na ardhini isipo sibu mlengwa hukurudia mwenyewe" Looh
ndo nkasema God knows well !!<!-- google_ad_section_end -->
 
Back
Top Bottom