N supernova 7210

marregal

Member
May 8, 2011
77
15
ma phone has been switching off by itself and then on, came to check my messege folder no inbox, sent items or even drafts, speaking of the gallery folder it is empty, the only way i cud read sms is until through connecting it with PC in the nokia pc suite, help tafadhali wanajf..:confused3:
 
mwenywe simu yangu inafanya hivyo vitu kwa mwaka wa nne sasa sijajua tatizo ni nini lakini ninampango wa kuflash
 
Mm yakwangu ilıkuwa inafanya madudu kama hayo mara inafuta applıcation,cha mşıngi na seç nılıchofanya ni kuflash tu
labda subirini wataalam waje kuwapa maujanja.
 
kama nikuflash i dd so, lakini baada ya wiki 2 mziki ule ule, hata theme za simu hakuna tena, huu ni mchina wa aina gany!!!!
 
try ku update software, kwenye cd za pc suite kuna software inaitwa nokia software updater itachange version ya simu yako kua kubwa zaidi na utapata faida ya software mpya za nokia bure. Maybe inaweza kusolve
 
nimecheck update yake hamna, na update zilizopo ni za RM tofauti na hii japo ni supernova pia....
 
Je umejaribu kui hard reset.. yani kufuta kila kitu na kuiset kama ilivyotoka kiwanda... ok kama kabla backup vitu vyako vyote muhimu then type

in hii code *#7370# then itakutaka uweka security code yako..kama haujawah kuichange ni hii apa 12345. then itazima ikiwaka everthing is

reseted! I hope maybe itasaidia.
 
Back
Top Bottom