mossad007
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,165
- 850
tatizo huelewi unachoongea na huna data,kwanza US haidaiwi na China trillion 18 wanazodaiwa ni less than i trillion and FYI hilo deni ni asset kwa US (go educate yourself uelewe why?),ni kweli walitumia lots of money kupigana Iraq & Afghanistan lakini guess what? Iraqs and Afghans ndio watalipa hilo deni sio US na watalipa ten times,waulize Japan,Germany,British etc maana 50 yrs later bado wanalipa na zile base za Okinawa na Germany hazitafungwa leo kwa ajiri hiyo,uliwahi kusikia war debts?...war is a big business na big part ya US Economy na hivyo vita technically wanavitaka sana hata leo maana vinakuza Economy yao
Atlist some people like u understand thngs cz many ni mashabiki with no facts no knowledge.