N ilifankiwa ku-unlock Airtel Moden,ImeanzaKukataa SIM za Voda Nifanyeje?

eedoh05

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
632
234
Kwa msaada wenu nilifanikiwa ku-unlock Airtel Modem ZTE MF190. Ikawa inafungua line za mitandao mikubwa hapa Dar, mfano, voda,tigo na zantel. Nilitumia DC-Unlocker Software. Lakini sasa inagoma kuzisoma line za Voda na Zantel. Nikadhani ime-lock tena.Nilipojaribu ku-run dc-unlocker ikaniambia moden unlocked. MISAIDIENI, nitatue vipi tatizo hili? Vodacom kwa sasa wana kapromo ka aina yake.
 
yale yale, mm after unlocking modem ikagoma, na komputa hata nikichomeka modem zingine pia kati ya internet icon na airtel\any modem icon kunapigwa alama ya x, kuna rafiki angu humu aliniambia nidownload firmware imeshndikana coz ndo hvyo tena pc haidak net.
 
yale yale, mm after unlocking modem ikagoma, na komputa hata nikichomeka modem zingine pia kati ya internet icon na airtel\any modem icon kunapigwa alama ya x, kuna rafiki angu humu aliniambia nidownload firmware imeshndikana coz ndo hvyo tena pc haidak net.

Ku unlock modem hakuwezi kufanya pc yako iache kusoma modem nyingne wewe pc yako itakuwa na tatizo binafsi.
ukishachomeka modem yenye line hapo hapo penye alama ya internet iliyopgwa x bonyeza hapo hapo italeta kibox kikiwa kinaonesha connections mbali mbali na mfano kama kwenye modem yako kuna voda utaona pale kuna vodacom bonyeza vodacom chini utaona linatokea neno connect nawe click hapo ikitokea likaja box linadai access point andika internet pengine acha wazi pga next next mpaka mwisho
 
ku unlock modem hakuwezi kufanya pc yako iache kusoma modem nyingne wewe pc yako itakuwa na tatizo binafsi

sure chief, kusoma inasomwa na inaconnect, ila zile browser haziwi connected na broadband, YANGU NI AIRTEL ZTE MF190
 
Back
Top Bottom