N.H.I.F mnasubiri nini kuwa na "Electronic Health Card System?"

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
3782.jpg


(1) mfumo rahisi wa kuzifungia kadi zote za wanachama zilizopotea ama kuibiwa ama zilizo expire.
(2) urahisi wa kupata idadi kamili ya wateja waliohudumiwa kwa kila kituo cha afya kilicho idhinishwa.
 
Mbona wanao huo mfumo ?
Kuna software wanaitumia inayoweza kugundua kadi haramu ingawa haujafungwa kwenye vituo vyote.....ila wazo lako ni zuri zaidi
asante sana kaka. mimi naona ni vema kama wakatoa kadi za kielektoniki kwa wanachama wote kisha wakagawa na hizi mashine za kusomea kadi (kama vile mashine za debit card) kwa vituo vyote vya afya vilivyoidhinishwa
 
Back
Top Bottom