Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

Naomba kuuliza swali....msichana wako anapata bleed trh 25 June then unasex nae trh 5,6 na 7 July. Anasafiri trh 7 mchana kwenda mkoani anarudi trh 18 anapima anakutwa kapata ujauzito...baadae mnagundua ni mtoto wa kiume

Sasa je? Kuna uwezekano mlivosex nae trh 5,6 na 7 mimba ikawa ni yako?

Na mayayi ya mtoto wa kiume huweza dumu kwa mama kwa muda gani?

Naombeni wataalam tu ndo wanijibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.aonba kuuliza ..
mama mzazi anqetumia kijiti (uzazi wa mpango) anapo patwa na hedhi muda mrefu (mwezi mmoja au miwili) mfululizo je ni hatari? pia ni nini kisababishi cha damu hizo kuto ku kata?
 
jaxonetee,
Mkuu ungechukua wastani wamzunguko wa siku zake kisha toa 11 utapata siku yaurutubishaji yai ambayo siku tatu kabla mwanamke anaweza beba ujauzito na siku mbili baada anaweza beba ujauzito hata hivyo kwa mujibu waswali lako tarehe 25 mpka 07 nisiku ya 13 kama utahesabu vizuri hivyo kunauwezekano mkubwa kupata ujauzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpenzi wangu alianza period date28 January akamaliza february date2..tukakutana kimwili date9 hiyo hiyo february Kuna uwezekano akapata uja uzito
 
Wakuu naomba tunapoleta Uzi kama huu uwe umepitiwa nawataalamu wa mambo ya uzazi maana vitu vingine tunadanganyana Mimi nimesex nawife siku ya sita amedeliver hii imekaaje kama wataalamu wapo humu naomba msaada wenu
 
Aliyeleta Uzi ni mtaalamu wa mambo ya uzazi. Wanaochangia pia ni wataalamu wa mambo ya uzazi. Au unadhani ni wote ni mapopoma kama wawe ulivyo popoma? Umedanganywa na nani humu?Watu wanatema madini ya nguvu unadai udanganywa?

Huwa mkiwa vijiwe vya Misuna,Unyankindi,Kisasida,Ilongero,Ikungi,Kindai na Mwenge mkinywa kahawa hapo Singida ndio mnajiona wajanja kumbe akili sifuri kabisa.Yaani umekomenti kijinga/kipumbavu mpaka nimeudhika we mla mlenda na mpuuu.

Unaelimishwa,tulia usome na uelewe uzi halafu zingatia.
Wakuu naomba tunapoleta Uzi kama huu uwe umepitiwa nawataalamu wa mambo ya uzazi maana vitu vingine tunadanganyana Mimi nimesex nawife siku yasita amedeliver hii imekaaje kama wataalamu wapo humu naomba msaada wenu
 
Mpenzi wangu alianza period date28 January akamaliza february date2..tukakutana kimwili date9 hiyo hiyo february Kuna uwezekano akapata uja uzito
Mkuu hiyo ni siku 13 siku ya hatari (12-14).. Kuna possibilty ya kupata ujauzito ya kutosha
 
Back
Top Bottom