Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

Mzanzibarr, Hapo kwenye aya moja kabla ya mwisho,kwa mzunguko huo akianza kushiriki hyo siku ya 19 anaenda hadi lini pasipo pata ujaizito?
 
Ndugu wana jamvi nimeingia kwenye lawama, kuna dada nilimfundisha kupanga uzazi kwa njia ya kalenda na mzunguko wake ni wa siku 28, akaniambia amefanya mapenzi siku ya tisa asubuhi kwa mujibu wa mzunguko wake lakini akapata mimba.

Mimi nilimfundisha kwa kutumia chati inayoonesha siku za hatari ni kuanzia siku ya kumi na moja mpaka siku ya kumi na nane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba tunapoleta Uzi kama huu uwe umepitiwa nawataalamu wa mambo ya uzazi maana vitu vingine tunadanganyana Mimi nimesex nawife siku ya sita amedeliver hii imekaaje kama wataalamu wapo humu naomba msaada wenu
Mwanamke wako ana mzunguko mfupi
 
Mimi binafsi huwa naacha kupiga shoo za kumwagia ndani siku ya tisa...hapo ni nje tu mpaka atakapoanza tena bleed..maana nilisikia mbegu zinaweza zikakaa mpaka siku tatu bado zina nguvu unajikuta ulifanya mapenz siku salama ila mambegu yananguvu yameng'ang'ania mpaka yanakutana na balaa la mtoto
 
Akitoka hedhi anakua na siku nne salama... zinafata tisa za hatari, then siku salama hadi kuingia hethi tena.
 
Back
Top Bottom