Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Igwe wanaJF
Naam, katika kipindi cha miaka 10 iliyopita ilikuwa ni desturi kila baada ya miaka miwili kuingia kwenye mzunguko wa fedha malipo ya mamia ya mabilioni ambayo kimsingi malipo yalipitia kwenye mabenki ya kibiashara na baadaye kufuatiwa na mgao kwa msururu wa watu bila kujali itikadi, rangi, dini nk na chanzo kingine ilikuwa miradi hewa katika halmashauri na idara mbalimbali za serikali.
Wanufaika wakuu wa fedha hizo walikuwa ni:

- Wafanyabiashara
- Wanasiasa
- Vimada
- Wapambe
- Madalali wa viwanja, nyumba nk
- Wanahabari