Mzungu mwenye moyo wa kibongo

Mwadime

New Member
Oct 5, 2021
4
5
ndugu zangu,

Kwanza nijitambulishe kwa kuthibitisha mimi ndiye mzungu wa asili ya Kimarekani. Jina langu ni Riley (kifupi 'Rai') au pia watu wa kabila Taita huniita Mwadime - uchague lile unalolipendelea kuniita.

Kabla ya janga la UVIKO 19 niliwahi kuishi Afrika Mashariki haswa Tz takriban miaka miwili. Kusema ukweli nazipenda sana utamaduni za eneo hilo, lugha ya kiswahili, na mtindo wenu wa maisha unaonivutia hadi leo. Siku hizi niko njiani mwa kupata shahada yangu ya pili (uzamili) hapa USA lakini najua ni lazima nirudi kwenu punde nikiwa na nafasi.

Nikisubiria nafasi hiyo nimekuwa najipanga mambo ya baadaye ili niwe tayari kuhamia Tz. Suala linalonisumbua zaidi ni lile la mauzaji ya ardhi ikiwa mnunuzi ni mgeni kama mm. Nataka ardhi ya kujenga nyumba tu, lakini cjui kama nitakatarajiwa na mamlaka husika kuendesha biashara huko kwenye ardhi.

Naomba msaada wa mtaalamu kunielezea kidogo jinsi ya wageni kununua ardhi na nini vitahitajika.

Ahsanteni jamaani
 
Nunua ardhi Marekani na ubaki huko huko. Wamarekani wazuri tu wakitaka kitu kwako ila ni manyang’au, wabaguzi, walafi na wabinafsi sana.
 
We maliza masomo halafu njoo bongo.utapata ardhi.tunajua huwezi hamisha ardhi,itaendelea kuwa ya bongo.hapa kwetu kuna wageni kibao wengine hawajui hata neno moja la kiswahili wana miliki mieneo mikubwa ya ardhi
 
ndugu zangu,

Kwanza nijitambulishe kwa kuthibitisha mimi ndiye mzungu wa asili ya Kimarekani. Jina langu ni Riley (kifupi 'Rai') au pia watu wa kabila Taita huniita Mwadime - uchague lile unalolipendelea kuniita.

Kabla ya janga la UVIKO 19 niliwahi kuishi Afrika Mashariki haswa Tz takriban miaka miwili. Kusema ukweli nazipenda sana utamaduni za eneo hilo, lugha ya kiswahili, na mtindo wenu wa maisha unaonivutia hadi leo. Siku hizi niko njiani mwa kupata shahada yangu ya pili (uzamili) hapa USA lakini najua ni lazima nirudi kwenu punde nikiwa na nafasi.

Nikisubiria nafasi hiyo nimekuwa najipanga mambo ya baadaye ili niwe tayari kuhamia Tz. Suala linalonisumbua zaidi ni lile la mauzaji ya ardhi ikiwa mnunuzi ni mgeni kama mm. Nataka ardhi ya kujenga nyumba tu, lakini cjui kama nitakatarajiwa na mamlaka husika kuendesha biashara huko kwenye ardhi.

Naomba msaada wa mtaalamu kunielezea kidogo jinsi ya wageni kununua ardhi na nini vitahitajika.

Ahsanteni jamaani
Unamfahamu sabaya na Don nalimison? Hao ndio wanahusika na kuuza ardhi kwa wageni.
 
Mzungu katika pitapita zako utakuwa ulifika Tanga!

Mzungu moyo wako wa kibongo vipi roho yako nayo ni ya korosho?
 
Mkuu hii ni reverse racism unafanya hapa

Hujawahi kwenda America,you dont know them,ila upo hapa kutoa ujinga wote huu.

Ubaguzi upo kila mahali,hata TZ,sasa dunia nzima ni manyang'au basi

Sijui kwanini watu mna roho ya reverse uonevu namna hii,I guess it makes your stupid hearts feel good nadhani

Wewe unajuaje nipo bongo? Mpaka nimesema hayo unauhakika gani kwamba sijaishi Marekani?

Nakuambia sasa kama mtu ambaye nina uzoefu nao, hawa siyo watu.
 
Mkuu hii ni reverse racism unafanya hapa

Hujawahi kwenda America,you dont know them,ila upo hapa kutoa ujinga wote huu.

Ubaguzi upo kila mahali,hata TZ,sasa dunia nzima ni manyang'au basi

Sijui kwanini watu mna roho ya reverse uonevu namna hii,I guess it makes your stupid hearts feel good nadhani

Ungejua mzungu anavyokuzungumzia wakati haupo usingesema huu upuuzi. Mzungu anatudharau sana hususani wa Marekani, wewe washobokee tu ila mimi toka utotoni nimecheza nao, tena wa kanisani, nikaishi nao, nikaenda na kwao.

Wasikie tu
 
Nunua ardhi Marekani na ubaki huko huko. Wamarekani wazuri tu wakitaka kitu kwako ila ni manyang’au, wabaguzi, walafi na wabinafsi sana.
Nakuonea huruma ndugu kwani bayana una mtazamo finyu sana. Kubaguliwa ni kitu kibaya sana kwako na nimesikitishwa kusikia hiyo. lkn usiseme wazungu wote wawe manyang'au, bora ukague tabia na vitendo ya kila mtu mwenyewe. Nilikuwa ninauliza msaada tu.
 
Acha unafiki

Nipo America,Germantown Maryland

Watu washenzi wapo jamii zote...Europe kuna wabaguzi,India wapo,China wapo,Japan wao,etc

Sema wewe una experince na bad Americans una generalize dunia nzima

Mimi sitafuti mabaya ya jamii...natafuta positivity tu....najua kuna watu wabaya na wazuri....najitahidi kukaa mbali na wabaya na wasiwarudishii ubaya wowote,nakaa na wazuri zaidi,na sipo hapa kulalamika and other blah blah....

Wewe kama una mentality ya kijinga hivyo huwezi kaa nje ya TZ,kila sura utaona is out there to kill u,thats nonsense!

Sina time kabisa na Mmarekani, manyang’au sana ila ni wanafiki kama CCM tu
 
Back
Top Bottom