Mzungu mshenzi sana

McNair

Senior Member
Mar 18, 2017
182
130
Hawa jamaa wanamaakili ya ajabu sana wakikuamulia
IMG-20170620-WA0018.jpg
 
Sasa wazalendo Kwa sababu tumeshaanza kujua kiini cha matatizo yetu kwanini members jamiiforium tusianzishe kampeni ya kataa utumwa jitambue! Nywele bandia, vipodozi vikali, mitaala ya elimu, mitazamo nk.
 
Tuamke sasa...tushalishwa sumu kali y a inferiority complex before white man...Not all of us but most of us...
 
Baada ya hapo wakawatuma Missionaries, Traders na Explolers waje kuwafanyia kina babu mabadiliko... Dah Nadhani babu yake Chenge alikuwa wa kwanzakwanza kushawishika
Babu yake chenge ndiye mmiliki wa gambush akiitwa mwanamalundi.
 
Back
Top Bottom