Hahahaaaaa. Lakini umesahau kubold manenoMimi ndio joseverest wa hii thread
ndomana siku hizi nachukia sana lugha ngeni na watu wenye nywele ndefu na makalio meupeHawa jamaa wanamaakili ya ajabu sana wakikuamuliaView attachment 527945
Mshenzi haswa! Mola atujalie na sisi hiyo miakili yao na ujanja wao!Hawa jamaa wanamaakili ya ajabu sana wakikuamuliaView attachment 527945
...dini mbona umeiacha mkuu-hii ndio sumu mbaya kabisaSasa wazalendo Kwa sababu tumeshaanza kujua kiini cha matatizo yetu kwanini members jamiiforium tusianzishe kampeni ya kataa utumwa jitambue! Nywele bandia, vipodozi vikali, mitaala ya elimu, mitazamo nk.
Umesahau ku bold comment yako, hahahahahahMimi ndio joseverest wa hii thread
Hongera sana,naona ulikuwa unatafuta kwa hamu hyo nafasi.Mimi ndio joseverest wa hii thread
Babu yake chenge ndiye mmiliki wa gambush akiitwa mwanamalundi.Baada ya hapo wakawatuma Missionaries, Traders na Explolers waje kuwafanyia kina babu mabadiliko... Dah Nadhani babu yake Chenge alikuwa wa kwanzakwanza kushawishika
Mfano wakenyaHawa jamaa wanamaakili ya ajabu sana wakikuamuliaView attachment 527945