Mzungu kaniambia nimtumie details zangu, ni zipi hizo?

blanketyy

Member
Sep 3, 2017
31
13
Habarini wana mjengo huu wa jamii f.
Wiki iliyopita kuna mzungu wangu kutoka USA aliniambia nimtumie details zangu zote maana kuna vitu anataka anitumie, sasa je hizo details ni zipi jamani? maana nachokijua waga ni email, so please wazoefu naomba muweke uzoefu wenu hapa.
 
Habarini wana mjengo huu wa jamii f.
Wiki iliyopita kuna mzungu wangu kutoka USA aliniambia nimtumie details zangu zote maana kuna vitu anataka anitumie, sasa je hizo details ni zipi jamani? Maana ninachokijua waga ni email, so please wazoefu naomba muweke uzoefu wenu hapa.
 
Mkuu hill ni tapeli la Kinigeria hakuna cha mzungu hapo
Utapeli wa kizamani huo tena unaweza kukuta mtu mwenyewe aakaa Tandale

Ukituma detail zako anaHACK akaunti zako za benki au social media na kuiba au kuzitumia kutapelia wengine
 
Habarini wana mjengo huu wa jamii f.
Wiki iliyopita kuna mzungu wangu kutoka USA aliniambia nimtumie details zangu zote maana kuna vitu anataka anitumie, sasa je hizo details ni zipi jamani? Maana ninachokijua waga ni email, so please wazoefu naomba muweke uzoefu wenu hapa.

Unafahamiana nae vizuri ?Anataka kukutumia vitu gani? Hapo anataka Majina yako kamili pamoja na anuani yako ya posta ikibidi na anuani ya makazi
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Looh......dah yan from nowhere tu....asses yourself
 
Kwani ni huyo mzungu?hatujui mnafanya biashara gani,mmeanzia wapi mpaka asiweze kufafanua anataka nini?

Unataka tukutibu bila kujua ugonjwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom